Hongera kwa kufaulu, Karibu chuo kikuu

Snowpiercer

JF-Expert Member
Sep 15, 2014
2,325
4,089
Karibu Chuo Kikuu mdogo wangu!

Hiki ndio kile chuo ulichokua ukikitamani siku zote, hongera na karibu sana.
SI ULISIKIA KUNA BATA!?

1. Hili ndilo eneo pekee wanafunzi wanaingia darasani Kwa kupenda kwani hamna fimbo. karibu sana mdogo wangu.

2. Hili ndilo eneo pekee penzi hununua taaluma,nakutia moyo utashinda mdogo wangu.

3. Hili ndilo eneo pekee watu wanapochagua kusoma vitu virahisi hata kama viko nje ya ndoto zao ilimradi ni virahisi tu watasoma..usijali wapotezee

4. Hili ndilo eneo pekee wanafunzi wanaruhusiwa kuoana watakavyo.karibu sana mdogo wangu jisikie uko batani.

5. Hili ndilo eneo pekee watu huja na Biblia/Quran kwenye beg alafu baada ya wiki mbili vitabu hivyo huhifadhiwa kabatini na begi huwekwa condom za kutosha kazi. Ni maamuzi yako mdogo wangu jisikie uko batani.

6. Hili ndilo eneo pekee kunakua na show nyingi za Bongofleva na dada zetu huingia bure ili wawe wengi huku kaka zetu wakitoa kiingilio Kwa niaba yao...karibu sana mdogo wangu jisikie uko batani.

7. Hili ndilo eneo pekee wadada wengi wanakuja weusi wanatoka weupe pasina shaka ni kiwanda cha rangi mdogo wangu.

8. Hili ndilo eneo pekee watu huwaacha wapenzi wao wa zamani kisa wamepata wasomi wenzao,usijali mdogo wangu jisikie uko batani.

9. Hili ndilo eneo pekee wanafunzi hawataki kupima damu na uzito lakini hupima mipini na vibamia eti kujua vina tofauti gani,utaelewa tu mdogo wangu.

10. Hili ndilo eneo pekee wazazi watakuamini sana mdogo wangu wakijua wewe ni msomi hata kama ni kichomi.

11. Sikukatishi tamaa mdogo wangu lakini wapenzi wa huku wengi wanakua na mafiga matatu na zaidi (eti ndio ujanja) karibu mdogo wangu jisikie uko batani.

12. Hili ndilo eneo pekee ambalo watu wengi ni waimbaji wa Bongo fleva yaani hamna talent nyingine.karibu sana mdogo wangu jisikie uko batani.

13. Hili ndilo eneo pekee watu wengi wanaitegemea serikali iwape ajira hata kama hamna watajiandaa cha ajabu anayesomea ualimu anavaa kama MC.karibu sana mdogo wangu.

Mdogo wangu wakati naandika haya nalia kwani siamini sisi tunaotegemewa na wazazi na Taifa tumekua hivi! Anyway!

ANGALIZO
(a). Nikukumbushe tu mdogo wangu pamoja na hayo yote wapo watu wazuri wasiohusika na lolote kati ya hayo lakini nikutahadharishe kwamba ni vigumu sana kuwatambua hawa wazuri kwani ni wachache,unahitaji muda na utulivu kuwajua.

(b). Vilevile kumbuka kuwa marafiki wanaathiri zaidi maisha yako kuliko waalimu wako..usikosee kuwachagua mdogo wangu.

(c). Usisahau kuwa umri wako unakuruhusu kuwa na mpenzi lakini kuwa makini kuchagua wengine sio wapenzi ni washenzi.

(d). Najua unamwamini Mungu mdogo wangu, lakini huku hiyo sio fashion sana,tafadhali usiiache ibada kwani kila hatua unayopiga shetani naye anatafuta mbinu ya kukukwamisha!

(e). Mdogo wangu kitu chochote kisije kikakufanya ukawasahau wazazi wako kwani hakuna wakuichukua nafasi yao moyoni mwako!

(f). Najua umemzidi baba/mama elimu lakini chunga usije ukaitumia elimu yako kuwadanganya na kuwadharau.Kumbuka wale ni wazazi wako.

(g). Najua uliambiwa chuo kikuu bata lakini nikukumbushe bata huyu pia anashubiri kama SUP, Carry, na Disc.

Najua utawaambia marafiki zako maneno haya machungu kama ndimu lakini matamu kama asali,usijali waambie wenzako maneno haya huku nawe ukiyaishi.

Asante sana.

Ubarikiwe sana mdogo wangu, karibu chuo Kikuu na masomo mema.
 
Hahahahaahahahah, umenikumbusha siku ya kwanza kuanza Chuo, tulianza na somo la development studies, sasa yule prof. akatuelekeza stationery ya kununua desa lenye neno maana ya neno "development", desa lilikuwa na kurasa kama 20 hivi kumbe ni stationery yake! hahahahaahah

Nawatakia vijana kila la kheri, wakasome kwa bidii, kule hawaendi kuchukua degree bali wanakwenda kusoma ili wapate degree
 
Karibu Chuo Kikuu mdogo wangu!

Hiki ndio kile chuo ulichokua ukikitamani siku zote, hongera na karibu sana.
SI ULISIKIA KUNA BATA!?

1. Hili ndilo eneo pekee wanafunzi wanaingia darasani Kwa kupenda kwani hamna fimbo. karibu sana mdogo wangu.

2. Hili ndilo eneo pekee penzi hununua taaluma,nakutia moyo utashinda mdogo wangu.

3. Hili ndilo eneo pekee watu wanapochagua kusoma vitu virahisi hata kama viko nje ya ndoto zao ilimradi ni virahisi tu watasoma..usijali wapotezee

4. Hili ndilo eneo pekee wanafunzi wanaruhusiwa kuoana watakavyo.karibu sana mdogo wangu jisikie uko batani.

5. Hili ndilo eneo pekee watu huja na Biblia/Quran kwenye beg alafu baada ya wiki mbili vitabu hivyo huhifadhiwa kabatini na begi huwekwa condom za kutosha kazi. Ni maamuzi yako mdogo wangu jisikie uko batani.

6. Hili ndilo eneo pekee kunakua na show nyingi za Bongofleva na dada zetu huingia bure ili wawe wengi huku kaka zetu wakitoa kiingilio Kwa niaba yao...karibu sana mdogo wangu jisikie uko batani.

7. Hili ndilo eneo pekee wadada wengi wanakuja weusi wanatoka weupe pasina shaka ni kiwanda cha rangi mdogo wangu.

8. Hili ndilo eneo pekee watu huwaacha wapenzi wao wa zamani kisa wamepata wasomi wenzao,usijali mdogo wangu jisikie uko batani.

9. Hili ndilo eneo pekee wanafunzi hawataki kupima damu na uzito lakini hupima mipini na vibamia eti kujua vina tofauti gani,utaelewa tu mdogo wangu.

10. Hili ndilo eneo pekee wazazi watakuamini sana mdogo wangu wakijua wewe ni msomi hata kama ni kichomi.

11. Sikukatishi tamaa mdogo wangu lakini wapenzi wa huku wengi wanakua na mafiga matatu na zaidi (eti ndio ujanja) karibu mdogo wangu jisikie uko batani.

12. Hili ndilo eneo pekee ambalo watu wengi ni waimbaji wa Bongo fleva yaani hamna talent nyingine.karibu sana mdogo wangu jisikie uko batani.

13. Hili ndilo eneo pekee watu wengi wanaitegemea serikali iwape ajira hata kama hamna watajiandaa cha ajabu anayesomea ualimu anavaa kama MC.karibu sana mdogo wangu.

Mdogo wangu wakati naandika haya nalia kwani siamini sisi tunaotegemewa na wazazi na Taifa tumekua hivi! Anyway!

ANGALIZO
(a). Nikukumbushe tu mdogo wangu pamoja na hayo yote wapo watu wazuri wasiohusika na lolote kati ya hayo lakini nikutahadharishe kwamba ni vigumu sana kuwatambua hawa wazuri kwani ni wachache,unahitaji muda na utulivu kuwajua.

(b). Vilevile kumbuka kuwa marafiki wanaathiri zaidi maisha yako kuliko waalimu wako..usikosee kuwachagua mdogo wangu.

(c). Usisahau kuwa umri wako unakuruhusu kuwa na mpenzi lakini kuwa makini kuchagua wengine sio wapenzi ni washenzi.

(d). Najua unamwamini Mungu mdogo wangu, lakini huku hiyo sio fashion sana,tafadhali usiiache ibada kwani kila hatua unayopiga shetani naye anatafuta mbinu ya kukukwamisha!

(e). Mdogo wangu kitu chochote kisije kikakufanya ukawasahau wazazi wako kwani hakuna wakuichukua nafasi yao moyoni mwako!

(f). Najua umemzidi baba/mama elimu lakini chunga usije ukaitumia elimu yako kuwadanganya na kuwadharau.Kumbuka wale ni wazazi wako.

(g). Najua uliambiwa chuo kikuu bata lakini nikukumbushe bata huyu pia anashubiri kama SUP, Carry, na Disc.

Najua utawaambia marafiki zako maneno haya machungu kama ndimu lakini matamu kama asali,usijali waambie wenzako maneno haya huku nawe ukiyaishi.

Asante sana.

Ubarikiwe sana mdogo wangu, karibu chuo Kikuu na masomo mema.
Ingawa hayanihusu moja kwa moja-nimeyapenda, mwenye macho haambiwi tazama. Big Up.
 
Asante kwa ushauri kaka ila ata atujui wanatoa lin majina yetu apa tukotuko tu
 
HONGERA KWA KUFAULU! KARIBU CHUO KIKUU.

(Fikisha ujumbe huu kwa wadogo zetu 1year watarajiwa.)

Karibu Chuo Kikuu mdogo wangu!
Hiki ndio kile chuo ulichokua ukikitamani siku zote...hongera na karibu sana.
SI ULISIKIA KUNA BATA!?

Hili ndilo eneo pekee wanafunzi wanaingia darasani Kwa kupenda kwani hamna fimbo..karibu sana mdogo wangu..
Hili ndilo eneo pekee penzi hununua taaluma,nakutia moyo utashinda mdogo wangu

Hili ndilo eneo pekee watu wanapochagua kusoma vitu virahisi hata kama viko nje ya ndoto zao ilimradi ni virahisi tu watasoma..usijali wapotezee
Hili ndilo eneo pekee wanafunzi wanaruhusiwa kuoana watakavyo.karibu sana mdogo wangu jisikie uko batani.

Hili ndilo eneo pekee watu huja na Biblia/Quran kwenye beg alafu baada ya wiki mbili vitabu hivyo huhifadhiwa kabatini na begi huwekwa condom za kutosha kazi. Ni maamuzi yako mdogo wangu jisikie uko batani.

Hili ndilo eneo pekee kunakua na show nyingi za Bongofleva na dada zetu huingia bure ili wawe wengi huku kaka zetu wakitoa kiingilio Kwa niaba yao...karibu sana mdogo wangu jisikie uko batani.

Hili ndilo eneo pekee wadada wengi wanakuja weusi wanatoka weupe pasina shaka ni kiwanda cha rangi mdogo wangu.

Hili ndilo eneo pekee watu huwaacha wapenzi wao wa zamani kisa wamepata wasomi wenzao,usijali mdogo wangu jisikie uko batani.

Hili ndilo eneo pekee wanafunzi hawataki kupima damu na uzito lakini hupima mipini na vibamia eti kujua vina tofauti gani,utaelewa tu mdogo wangu.
Hili ndilo eneo pekee wazazi watakuamini sana mdogo wangu wakijua wewe ni msomi hata kama ni kichomi.

Sikukatishi tamaa mdogo wangu lakini wapenzi wa huku wengi wanakua na mafiga matatu na zaidi (eti ndio ujanja) karibu mdogo wangu jisikie uko batani.

Hili ndilo eneo pekee ambalo watu wengi ni waimbaji wa Bongo fleva yaani hamna talent nyingine.karibu sana mdogo wangu jisikie uko batani.

Hili ndilo eneo pekee watu wengi wanaitegemea serikali iwape ajira hata kama hamna watajiandaa cha ajabu anayesomea ualimu anavaa kama MC.karibu sana mdogo wangu.

Mdogo wangu wakati naandika haya nalia kwani siamini sisi tunaotegemewa na wazazi na Taifa tumekua hivi! Anyway!

Nikukumbushe tu mdogo wangu pamoja na hayo yote wapo watu wazuri wasiohusika na lolote kati ya hayo lakini nikutahadharishe kwamba ni vigumu sana kuwatambua hawa wazuri kwani ni wachache,unahitaji muda na utulivu kuwajua.

Vilevile kumbuka kuwa marafiki wanaathiri zaidi maisha yako kuliko waalimu wako..usikosee kuwachagua mdogo wangu.

Usisahau kuwa umri wako unakuruhusu kuwa na mpenzi lakini kuwa makini kuchagua wengine sio wapenzi ni washenzi.

Najua unamwamini Mungu mdogo wangu, lakini huku hiyo sio fashion sana,tafadhali usiiache ibada kwani kila hatua unayopiga shetani naye anatafuta mbinu ya kukukwamisha!

Mdogo wangu kitu chochote kisije kikakufanya ukawasahau wazazi wako kwani hakuna wakuichukua nafasi yao moyoni mwako!

Najua umemzidi baba/mama elimu lakini chunga usije ukaitumia elimu yako kuwadanganya na kuwadharau.Kumbuka wale ni wazazi wako.

Najua uliambiwa chuo kikuu bata lakini nikukumbushe bata huyu pia anashubiri kama SUP, Carry, na Disc.

Back
Top Bottom