toa mifano ya wazi wazi
Akili za kuku tena kuku mwenyewe mdogoKwakweli napenda kuwapa hongera kwa jeshi la polisi ninavyoweza kutuliza ghasia hapa nchini. Kumekuwa na tabia za watu kufanya vitu vinavyopindisha amani ya nchi. Hivyo polisi endeleeni na kazi nzuri mnayofanya.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
..............................Ipo siku tu nawewe utakufa...kama sio ajali..ni risasi..kma sio risasi ya poalisi..ni kansa au ukimwi...kama sio...ni muto...ila utakufa tu na wewe...au unabisha...? soma signature yako ukweli usemwe sioHongera Polisi.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kwakweli napenda kuwapa hongera kwa jeshi la polisi ninavyoweza kutuliza ghasia hapa nchini. Kumekuwa na tabia za watu kufanya vitu vinavyopindisha amani ya nchi. Hivyo polisi endeleeni na kazi nzuri mnayofanya.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums