They are not serious these secretaries .... VIGEZO gani walitumia?
Huyu jamaa tangu ameingia Ewura;
1. Uchakachuaji wa mafuta umevuta kasi ya ajabu
2. Bei ya pertoli imepanda kutoka shs 500/ per ltr to Tshs 2.000/= per ltr within a period of three years !
Ame perfom nini "excellentlly" ??
They are not serious these secretaries .... VIGEZO gani walitumia?
Huyu jamaa tangu ameingia Ewura;
1. Uchakachuaji wa mafuta umevuta kasi ya ajabu
2. Bei ya pertoli imepanda kutoka shs 500/ per ltr to Tshs 2.000/= per ltr within a period of three years !
Ame perfom nini "excellentlly" ??
DUH JF inakuwa uwanja wa majungu sasa. Bei imepanda tokea 500 mpaka 2000 kwa kipindi kipi? Unajua miaka miwili na ushee bei ya pipa la petrol lilifikia dola 147 na ni bei ilikuwa haijawahi kufikiwa? Hapo Masebu anapandishaje hiyo bei? Unajua thamani yetu ya pesa inamaana katika bei ya mafuta? Hali ya pesa yetu ikoje? Unajua ni wakati huu ndio sheria imetungwa angalau ya kuzuia uchakuaji na aghalabu watu wanapigwa faini? Kunaweza kuwa na mapungufu ila hayo yako hayawezi kuwa subtantiated.They are not serious these secretaries .... VIGEZO gani walitumia?
Huyu jamaa tangu ameingia Ewura;
1. Uchakachuaji wa mafuta umevuta kasi ya ajabu
2. Bei ya pertoli imepanda kutoka shs 500/ per ltr to Tshs 2.000/= per ltr within a period of three years !
Ame perfom nini "excellentlly" ??
mkuu unapoteza muda wako. So long huyu Haruna si katika wao basi watamponda tu. Siunawajua hawa watu? Bei ya mafuta inapangwa na soko la dunia na si Tanzania tunaopanga, au sisi tunavisima vya mafuta? Hebu watu wa kilimanjaro au mbeya tujulisheni kama vipo huko.DUH JF inakuwa uwanja wa majungu sasa. Bei imepanda tokea 500 mpaka 2000 kwa kipindi kipi? Unajua miaka miwili na ushee bei ya pipa la petrol lilifikia dola 147 na ni bei ilikuwa haijawahi kufikiwa? Hapo Masebu anapandishaje hiyo bei? Unajua thamani yetu ya pesa inamaana katika bei ya mafuta? Hali ya pesa yetu ikoje? Unajua ni wakati huu ndio sheria imetungwa angalau ya kuzuia uchakuaji na aghalabu watu wanapigwa faini? Kunaweza kuwa na mapungufu ila hayo yako hayawezi kuwa subtantiated.
THE Director General for the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA), Mr Haruna Masebu has been voted as the best Chief Executive Officer (Boss of the Year) with an excellent performance for the year 2010.
Mr Masebu was voted the best from among 18 CEOs from various organizations across Tanzania, during a workshop held in Dar es Salaam recently for Office Secretaries that was organized by Techtop Consult (Tanzania) Limited in Dar es Salaam.
What do you guys say about this?any views
Unampaje zawadi mtu aliyekalia maombi ya TANESCO kuongeza bei from May hadi baada ya uchaguzi?
it is unfortunate kwamba we have politicised everything in this country hata zile professional benchmarks zimemezwa na siasaMkuu hapo umenena, EWURA ilifanya makusudi kuchelewesha mchakato wa kuhakiki uhalali wa TANESCO kuongeza bei ya umeme ili kuikoa CCM isipoteze kura katika uchaguzi uliopita. Hayo yalikuwa ni maagizo maalumu toka kwa Katibu Mkuu Kiongozi kwenda kwa wizara na taasisi za serikali kwamba issue yoyote yenye negative impact kwa CCM na serikali yake isiwe handled mpaka uchaguzi utakapoisha.
Binafsi sioni kwamba Masebu anastahili hii award. Hakuna impact yoyote aliyoleta kwa wananchi ndo maana hata Waziri akatoa amri ya EWURA kusitisha mkataba wao na Majembe Auction Mart (kati ya madudu machache ya EWURA)........labda pengine waliomteua wana vigezo vingine tusivyovijua!!
Au pengine yeye ndo ana unafuu kuliko ma CEO wengine?????
Hafu wakuu nini uhalali wa EWURA kuwakata wateja wa TANESCO 1% ya bill wanayolipa? Je hii haina mgongano wa kimaslahi? Kwani kuongezeka kwa gharama ya umeme kuna maana kwamba hata fee wanayo collect EWURA inaongezeka!!