Tamisemi wamesema wanatarajia kuajiri watumishi wa afya ngazi ya jamii siku sio nyingi...
Wenye vigezo tunzeni nyeti...
Lakini pia hii ni dalili nzuri kwa watumishi wengine wote wa afya ajira zipo njiani wale maclinical officer msisahu kua na leseni valid..