binafsi napenda kumpongeza huyu kamanda kwa kurudi vyema kwenye gemu na ngoma ya shukrani ila kubwa zaidi nampongeza kuweza kumaintain sauti yake ya kurap tangu miaka ile mpaka leo ipo vilevile. jamaa ni jembe hatari
Acha wivu we mwanamke, unataka tu kuskia habari za Wema na Zari na Sinta. Unafiki,majungu na umbea vitakuua.
Mkuu mtoa mada tunaomba utuwekee huyo wimbo ili na wengine tuweze kutoa maoni yetu.
Acha wivu we mwanamke, unataka tu kuskia habari za Wema na Zari na Sinta. Unafiki,majungu na umbea vitakuua.
Mkuu mtoa mada tunaomba utuwekee huyo wimbo ili na wengine tuweze kutoa maoni yetu.
Ni nzuri kwakweli, karudia ile mikato yake ya zamani, hicho ndio kitu kinachotakiwa. Kuna nyimbo alitoa mwakajana nadhan alikuwa anaimba,alinikera.Huu wa sahivi kapatia