Hongera Kikwete kwa Kutuachia Profesa Assad

Brother siku hizi unaandika kwa kifupi sana,seems you are disappointed, lakini huwezi kusema
 
Kwani nani alisema all with JK was bad, yako mazuri, yako mabaya!

Hakuna mtu anayeweza mzidi Jiwe kwa ukaidi, kwani sisi tumemkosea nini Mungu mpaka alete mwingine kama huyu, tushatubu dhambi zetu hawezi keta adhabu ingine
 
Kikwete ukiacha Profesa Assad adhalilishwe na mtu duni kama Ndugai nitakushangaa sana !
 
Mtangazaji amemuuliza je kuna maamuzi magum yoyote utakayochukua labda kujiuzulu, jibu "sina maamuzi mengineyo zaidi ya dua tu na kuomba taasisi zizingatie utu katiba na uzalendo." jamaa ni mtu mwadilifu kweli kweli,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndani ya siku hizi kadhaa ukweli kwamba Assad ni chuma umedhihirika. Sasa Jiwe atuambie mbona hiki kipindi chake Wezi ni wachache lakini wanaiba kingi kuliko awamu nyingine?

Lazima tuseme ndio tutaeleweka!
 
Back
Top Bottom