Naona ccm wamevamia huku ngoja tuwaachie waendelee kuchangia sie turudi site tukamalizie CDM ni msingi
Alutacontinua!
Mbowe huyu aliyevuta hela toka kwa NM ....ni .salk
Nimrod hana hela ya kumpa Mbowe. Mnataka sana kumwamini yule pandikizi na saliti Zi... .? Hana lolote ----- yule. Watu wanambeba halafu anawasaliti! Natafuta jina la kumwita silipati.
View attachment 133635
Wewe umetoka usingizini au shimoni.
Ni fedha gani ya ruzuku kwa CHADEMA inatosha kununulia Majumba makubwa Dubai na Marekani?
Rudia akili zako hayo unayoyaandika hayatokani na uhalisia wako.Milioni 800 utakusanya mara ngapi ili zitoshe kununua Jumba moja Dubai? Na kisha tena Marekani?
WEWE NDIO HUNA HOFU YA MUNGU NI MWONGO MKUBWA LABDA HUJASOMA BM NDIO MAANA UNADANGANYA MCHANA KWEUPE.
Kwa taarifa yako Mbowe ni Tajiri kabla hata ya kuamua awe Mwanasiasa.
unajua ni bora akuzidi akili mchaga anafahamika kuliko akuzidi akili ------ au mfipa wa sumbawanga hukooo hebu fikiria mbona CCM waziri mkuu wenu alikataa gari akasema likauzwe kumbe aliona halimtoshi anataka kubwa lake angalia gari analotembelea saizi mbona una kumbukumbu za upepo kijana hebu kumbuka mbunge anavyokuja kuomba kura kwako halaf anaingia madarakan anakupandshia gharama za umeme na gesi halafu anakuambia "kama huwezi gharama tumia kibatari" usivyo na akili baada ya kujadili mambo yanayokugusa moja kwa moja unajadili hoja za chama cha upinzani we kweli tahaira unatumia makalio kufikiri. mbona hamuangalii gharama alizozitumia Mbowe kukifkisha hapo chama kilipofika babaako si ingekuwa familia angekuwa kashaitelekeza
sio majumba tu, hata wewe kama hujapata mume akuoePongezi hizo bora ungempatia Mwigulu Nchemba kwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri, kuliko kung'ang'ania kumsifu mtu ambaye hastahili sifa hizo hata kidogo; Kwanza yuko kimya kwa sababu Elimu yake ni ndogo hivyo hawezi kupata la kujibu vinginevyo atatukana na kuishia Mahakamani, pili anamadhambi makubwa sana kama vile kununua majumba makubwa Dubai na Marekani kwa fedha za Ruzuku yaani fedha za Chama, pia kwenda kutumia fedha ya walala hoi kustarehe na bi mdogo huku yeye ni cristian. Jamani Muogopeni Mungu.
sio majumba tu, hata wewe kama hujapata mume akuoe
Pongezi hizo bora ungempatia Mwigulu Nchemba kwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri, kuliko kung'ang'ania kumsifu mtu ambaye hastahili sifa hizo hata kidogo; Kwanza yuko kimya kwa sababu Elimu yake ni ndogo hivyo hawezi kupata la kujibu vinginevyo atatukana na kuishia Mahakamani, pili anamadhambi makubwa sana kama vile kununua majumba makubwa Dubai na Marekani kwa fedha za Ruzuku yaani fedha za Chama, pia kwenda kutumia fedha ya walala hoi kustarehe na bi mdogo huku yeye ni cristian. Jamani Muogopeni Mungu.
Hivi unafikiri mtu anaanza kutoa pongezi bila kupata mgao wake! Ela mavi ya shetani bwana!
Hivi unafikiri mtu anaanza kutoa pongezi bila kupata mgao wake! Ela mavi ya shetani bwana!
Sasa kama shutuma zote ulitegemea aseme nini kama za kweli? Ajibu nini wakati ukweli upo wazi? Huyo ni mtu mzima ameamua kukaa kimya tu maana siyo siri tena.