Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,947
- 55,959
mmmh bc weng tumebakwa!!!
ila ubakaji wa kisasa
mmmh bc weng tumebakwa!!!
Ukitafakari sana utagunda wengi wetu tumebaka ama kubakwa bila kufahamu. Kubaka ni kitendo cha dushe kuingia kwa kiwango chochote katika papuchi bila ridhaa ya mhusika.
Sasa ridhaa hapa ni pamoja na umri , kama mhusika hajafikia age of majority ni ubakaji yaani miaka 18, kama alilewa ama hakujitambua pia ni ubakaji.
Kama alidanganywa ama kupewa ahadi isiyokuja kutimizwa mfano wale wanaoahidi kuoa ama wanaoa kiuongouongo kisha wanafukuza.
Wanawake wanapowafanyisha tendo watoto wadogo nayo ni kubaka. Sasa kama hujabaka ama kubakwa hongera sana wewe ni wa kipekee.
kwa hiyo wewe ulibaka au ulibakwa ?
Nahesabu wabakaji hapa ili miaka 30 iwahusu
Nashukuru mungu sijabakwa wala kibaka ,Mimi ni wa pekee
Mkuu ni Mungu
Kweli nimekosea
Hivi shem na mimi utasema nilikubaka au!??
Hahahaaa binamu umeelewa hem jibu swali wewe ni mbakaji au si mbakaji???????
Sasa kama hujabaka ama kubakwa hongera sana wewe ni wa kipekee.
kama ndo hivyo basi wanaume wote tumebaka.... maana bila kudanganya kugegeda utabakia kusimuliwa
sio binamu....Hahahaaa binamu umeelewa hem jibu swali wewe ni mbakaji au si mbakaji???????