Lakini hapo nawe unakosea, majukumu ya jwtz ni tofauti na polisi, hawa polisi shughuri zao za kila siku ni za kukutana na raia, ndio maana ni raisi kuona mabaya yao, ni kutokana na majukumu yao. Hata hao unaowasifia tena wao ndio wanyama kweli kuliko hata hawa polisi, wa kova, waulize watu wa mtwara, na waathirika wa operation tokomeza.
Leo hii wangepewa majukumu kama ya Polisi hakika ungewadharau kuliko unavyo wadharau Polisi
Uzalendo wao unatokana na uongozi uliotukuka walio nao,nasikia kiongozi wao kaomba kustaafu baada ya kupangiwa mikakati ya kipuuzi kufuatia uchaguzi mkuu ujao itakayopelekea umwagaji wa damu.
Lakini hapo nawe unakosea, majukumu ya jwtz ni tofauti na polisi, hawa polisi shughuri zao za kila siku ni za kukutana na raia, ndio maana ni raisi kuona mabaya yao, ni kutokana na majukumu yao. Hata hao unaowasifia tena wao ndio wanyama kweli kuliko hata hawa polisi, wa kova, waulize watu wa mtwara, na waathirika wa operation tokomeza.
Polisi wakishindwa majukumu ndio utawaona Wazee wakiingia mtamboni.
Wanastaili kupongezwa, taasisi pekee tz inafanya kazi kizalendo