Subirini dogo yule kichaa mvuta bangi wa arusha afungwe kwnza, yaani ningekuwa mimi namhuku kumnyonga tu, maana wazushi wa ukawa ni watu wabaya sana, wanahamu ya kumwaga damu nyumbu sanaWakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010, aliyekuwa Mnadhimu wa Jeshi hilo Luteni Jenerali Abdulahman Shimbo aliitisha mkutano na waandishi wa habari na kuvitaka vyama vya siasa kutokugomea matokeo ya uchaguzi kwa madai ya kulinda amani ya nchi.
Kauli ile ya Shimbo ilichukuliwa na wengi kama ya kisiasa na ya kibaguzi ambayo ililenga kuvididimiza vyama vingine na kuibeba CCM.
Ni ukweli usiopingika leo jeshi letu chini ya Jenerali Davis Mwamunyange kwa mara ya kwanza limekataa kujiingiza kwenye siasa za ushabiki wa vyama.
Ni matumaini yangu katika kipindi kilichobaki Jeshi la polisi chini ya IGP Mangu litatenda haki na kujitenga na ushabiki wa vyama kama ndugu zao wa JWTZ.
Subirini dogo yule kichaa mvuta bangi wa arusha afungwe kwnza, yaani ningekuwa mimi namhuku kumnyonga tu, maana wazushi wa ukawa ni watu wabaya sana, wanahamu ya kumwaga damu nyumbu sana

Kwa taarifa rasmi katika biashara ya siasa hakuna kumuamini mkuu yeyote yule ,hivi mnaijua siasa au ndio mmo mumo tu ? Mnajuaje kama na wao ni waumini wa upande fulani wa chama cha siasa ? Kura zitalindwa na wanachama wenyewe kwa njia wanazozijua wao na kuziamini ,hivi hawa mapolisi si ndio waliokimbia na masnadku ya kura kule Pemba ,mwaka huu maneno ya njiani yatabakia njiani haondoki mtu kwenye kituo kama kuzama na kutota basi kutaanzia hapo !
Subirini dogo yule kichaa mvuta bangi wa arusha afungwe kwnza, yaani ningekuwa mimi namhuku kumnyonga tu, maana wazushi wa ukawa ni watu wabaya sana, wanahamu ya kumwaga damu nyumbu sana
Wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010, aliyekuwa Mnadhimu wa Jeshi hilo Luteni Jenerali Abdulahman Shimbo aliitisha mkutano na waandishi wa habari na kuvitaka vyama vya siasa kutokugomea matokeo ya uchaguzi kwa madai ya kulinda amani ya nchi.
Kauli ile ya Shimbo ilichukuliwa na wengi kama ya kisiasa na ya kibaguzi ambayo ililenga kuvididimiza vyama vingine na kuibeba CCM.
Ni ukweli usiopingika leo jeshi letu chini ya Jenerali Davis Mwamunyange kwa mara ya kwanza limekataa kujiingiza kwenye siasa za ushabiki wa vyama.
Ni matumaini yangu katika kipindi kilichobaki Jeshi la polisi chini ya IGP Mangu litatenda haki na kujitenga na ushabiki wa vyama kama ndugu zao wa JWTZ.
Asante Mwamunyange kwa mapenzi uliyonayo kwa nchi yako na hongera kwa JWTZ.