Waliosema yeye ni chaguo la Mungu hawakukosea na maisha bora kwa kila mTz yameonekana. Ajira zimeongezeka kiasi cha tunaojiari wenyewe kukatazwa mfano bodaboda na machinga ili tukaajiriwe sekta rasmi, safi sana!
Pendekezo langu kama inawezekana aongezewe au ashawishiwe kuongeza muhula wa tatu ili akamilishe ahadi zote ambazo hajazikamilisha au ikishindikana mwanae agombee Urais ili akamilishe ahadi za baba yake kama kule Kalenga, Gabon, Togo Na kwingineko. Ni hayo tu!

Wewe eh!? Huenda unayo!
Hataki tena! Nafikiri ni Katiba tu ndiyo ina wakwaza marais, vinginevyo wange ung'ang'ania urais kama kupe kwenye ngozi ya mnyama!Muhula wa tatu! labda achaguliwe na Familia yake..... kwanza nahisi mwenyewe hataki tena