Hongera JK kwa kututoa katika Umaskini duniani! ila bado ....

Hii thread ingejadiliwa vizuri kwenye jukwaa la uchumi, huku imevamiwa na wanaharakati na kupoteza mwelekeo.

Somo moja naliona hapa, Watanzania inabidi tuvue miwani ya giza kuona hapa tulipo kama 'strength' na hii tuitumia kama msingi kurekebisha mapengo na kupiga hatua mbele. Lakini wengi wetu tunatafuta zaidi kasoro na kuzishangilia kama kwamba tulipanga kushindwa kabla hatujaanza safari.
 
Kamanda Mkandara,

Mkuu wangu GDP per capital metric has got its own weakness but it remain to be strong economic indicator for economic changes and performance. Kuna mchina mmoja alikuja na model moja complicated nadhani imetupiliwa mbali kwani GDP is robust since it also takes into account the utility of consumers. Huwezi kuwa unanunua mkate kama huupendi na hivyo unavyonunua mkate inamaana umeridhika nao.

Tukirejea katika hoja yako unarudi nilichokisema mkuu kuwa distribution of income but ni kikwazo nchini kwetu. Watu wachache ndio wanamiliki uchumi wa nchi yetu. Pia wazungu wanatuibia na kuchukua baadhi ya mapato yetu la msingi ni kuziba mianya hiyo. Nashukuru umelitolea mfano Barrick kama umenisoma nyuma Barrick imekuwa listed canada na london. Kwanini wasiishinikize Barrick walist kampuni yao DSE ya Tanzania? Wakilist serikali itaweza kuwakata kodi, mishahara ya wafanyakazi wao itakatwa kodi, na pia tutapata mrahaba wanaotudanganya nao wa asilimia 3.

Ni mipango tu mkuu. Hebu niambie sarakasi ya makampuni ya mahoteli makubwa kwani serikali yetu inashindwa nini kuwadhibiti? Kila siku wanabadilisha majina kuendelea kukwepa kodi. Serikali inashindwa kuzuia mianya hiyo. Watu wanapangisha watu nyumba hawalipi kodi serikalini je unalizungumzaje? Ni mipango tu mkuu but for this hata wewe you have to acknowledge him kuwa ni mafanikio yake.
Mkuu wangu, tunapozungumzia swala la GDP na makuzi ya uchumi sii swala la watu wachache kumiliki uchumi wa nchi yetu. Hapana! hii kitu nyingine kabisa.

Kuna tofauti kama mauzo yetu yanafanywa na mashirika ya watu binafsi wenye accounts zao nchini yaani kina Bakhresa. mauzo yao tunaweza kuyaweka ktk hesabu zetu lakini sii mauzo ya kina Barrick ambao pato zima la mauzo linakwenda Canada na kufanya mzunguko huko.

Nakuomba unielewe ktk hili, yaani ipo tofauti kubwa sana kama mzee wako ana duka na mnauza yake mkahesabu kama mauzo na pato la Familia, tofauti na Mhindi aliyepangisha ktk nyumba yenu na mkaanza kuhesabu mauzo yake kama ndio pato lenu kwa sababu tu anauzia nyumbani kwenu. GDP tunayoitumia sisi ni mauzo ya mhindi ambaye sisi hatuoni shilingi yake zaidi ya kodi ya nyumba.

Na unachozungumzia wewe ni mauzo ya duka la baba lakini baba hatugawii pato sawa lakini fedha zinaingia ktk account yake. Kimahesabu hata kama kazuia zote bado ni baba yetu hizo fedha zitatumika ndani ya familia hivyo ni zetu - hili halifanyiki ktk kuipima GDP yetu..

Na wanachokifanya Ulaya au Marekani, akija Mhindi kutaka kuuza duka kwanza anaozeshwa mke/mume ndani ya familia (uraia) halafu ndio unapewa kuuza duka hizo fedha zinakuwa za familia hata kama ni za mhindi lakini hazirudi India.
 
Mdondoaji,
This is what the government in Tanzania and some countries in Africa are good at....cooking data! Those data have got no value if people on ground suffer and live a miserely life.
Kuna sehemu hatutaweza kuhonga wala kudanganya ili mambo yetu yaende na unafiki utatuumbua wale tulioukumbatia kama ndio njia yetu ya kutapa maisha bora kwa kila mtanzania. Kuna kila dalili siku za kuwa accountable sio nyingi na haziko mbali sana. Naamini historia inayarekodi yote yanayoendelea na itakuwa inatupa kumbukumbu kadri tunavyosonga mbele.Aibu yao!!!

Kuna kipindi nyuma niliwahi kusema GDP growth rate ya Tanzania ni questionable kwani ni kubwa sana na mojawapo ya sababu kubwa ni data manipulation but I doubt it kwani IMF, World Bank wako makini kama data ni za kupikwa wangelipiga kelele kama walivyopiga kelele Greece.
 
,
Which is analysis nusu au huelewi?

Let me make it clear our per capital income in 1980 was every person in Tanzania has an income of $386 per year. 2010 Tanzania per capital income is $1410 per person huelewi kipi?

Kuhusu exchange rate hilo swala jengine sie tunazungumzia maendeleo kwani China is the second largest economy in the World behind USA but unajua exchange rate renimbi ni bei gani:-
1$ = 6.376 Chinese yuan.

Hivyo your argument is merely pointless

Bwana mkubwa naona wewe ndo huelewi unachozungumzia. Ziangalie hizo data kitaalamu (siyo kama zilivyo na kuingiza siasa kwenye uchumi). Dola imekuwa ikipungua nguvu yake kwa annual rate ya 3.45%. Ukipiga hesabu hapo (tumia hata NPV formula) Dola $1410 za 2011 ni sawa na $389 za mwaka 1980. Na hata ukiangalia kwa undani zaidi hizo figure utagundua kwamba tulikuwa better off 2003 kuliko sasa. Ndiyo maana nikasema kuangalina na kuanalyze hizo data kama zilivyo ni 'analysis nusu nusu'.
 
Cynic does have a very valid point though. A common theme with politicians when discussing growth figures is to use nominal prices (i.e those prevailing during the year). These tend to inflate incomes by conveniently failing to point out the purchasing power of the period's recorded income. In addition, this makes for unfavourable comparisons with past year recorded incomes owing the failure of having a common deflator. If you really want to compare GDP or any other price related statistic over time, it is imperative that you remove the effect of inflation by deflating the statistics. In your case I recommend choosing a base year and then deflating all GDP values in that time series relative to that year. In simple language this means telling us for instance what the GDP in 2010 was in say 1980 prices or vice versa.
 
,

Bwana mkubwa naona wewe ndo huelewi unachozungumzia. Ziangalie hizo data kitaalamu (siyo kama zilivyo na kuingiza siasa kwenye uchumi). Dola imekuwa ikipungua nguvu yake kwa annual rate ya 3.45%. Ukipiga hesabu hapo (tumia hata NPV formula) Dola $1410 za 2011 ni sawa na $389 za mwaka 1980. Na hata ukiangalia kwa undani zaidi hizo figure utagundua kwamba tulikuwa better off 2003 kuliko sasa. Ndiyo maana nikasema kuangalina na kuanalyze hizo data kama zilivyo ni 'analysis nusu nusu'.

Umetumia NPV formula kwa kutumia (internal rate of retun ipi?)
 
napata taabu sana kupima umasikini na maendelo ya nchi kwa indicators ambazo siyo practical.Ni mara nyingi data kama hizo zimekuwa zikitolewa, sual la msingi je hiyo GDP anayoiunda ni kweli pato la maority au ni dhahabu na samaki sangara ?kama ni kweli tunapewa data kiuhalisa pato limepelekwa nje.Nasita kusema kuwa data za imf kwenye GDP yetu si halisa .Na kama ni halisia , mfumko wa bei usingekuwa hivyo.Pia tujiulize pia, je purchasing power kwa walio wengi ina fanana na incime per capital?je kama GDP ingekuwa halisia, tusingehangaika kutafuta fedha ya maendelo kwa kutumia bajeti ya wafadhili na misaada kutoka nje.Kiuhalisia uchumi si suala la data tu bali ni lazima akisi maisha halisia ya watu.Tusiwe jf thnkers wa makaratasi bila uchanbuzi.Mfano tumtafute mwakijiji yeyote wa dodoma ambako hali ya ukame ni mbaya kiasi kikubwa kama kwa mwaka ameweza kuwa na kipato cha tshs.2,000,000/=.na kama angeweza wananchi wa ingunga wasingesubiri waletewe chakula cha msaada huku wana fedha.
Tuache hadith za political economy bila kuangalia social economic development , ambazo ndo halisia kuangalia umasikini na namna unavyoondolewa, na si kwa mkukuta.
nasita kusema kuwa hizi ni popoganda za kina mnape na uchumi wa kutazamia madaftari vyuoni ili kupata digrii au diploma.Tuache kuwatukana wanannchi kiuhalisia nao ni jumuisho takiwa katika idadi ya watanzania bila kuangali vigenge vya kina dowans ndo tutoe data za kindoto????????????????????????
 
Leo nimezitazama data sehemu kutoka IMF na kuona Tanzania GDP per capital income imepanda kutoka 385 in 1980 to $1,400 per person.

1980386.55
1981414.7327.29 %
1982426.6962.88 %
1983426.078-0.14 %
1984430.4281.02 %
1985446.8783.82 %
1986466.7534.45 %
1987493.5345.74 %
1988523.0285.98 %
1989545.0794.22 %
1990590.0388.25 %
1991604.4392.44 %
1992603.421-0.17 %
1993605.4290.33 %
1994609.3490.65 %
1995625.7182.69 %
1996648.2053.59 %
1997664.8412.57 %
1998678.2922.02 %
1999705.8374.06 %
2000731.923.70 %
2001772.6555.57 %
2002824.6786.73 %
2003882.4557.01 %
2004942.26.77 %
20051008.9247.08 %
20061094.4448.48 %
20071180.8477.89 %
20081269.7257.53 %
20091342.2995.72 %
20101416.8635.55 %

Pia graph hii inaonyesha kwa urahisi zaidi click link hii hapa:-
Tanzania GDP - per capita (PPP) - Economy

Nakupongeza Rais wetu JK kwani ukuaji wa GDP umekuwa mkubwa kuanzia 2005- kuendelea despite turbulent economic pressure from the West in 2008-2010. Ila kuna mambo yanahitajika kuendelezwa mfano distribution of this wealth needs to reach mwananchi wa kawaida wa nchi yetu naye aone kuna mabadiliko.

Tanzania imetoka nafasi ya chini kuwa nchi ya tatu kwa umaskini duniani kuwa nchi ya 51 kwa umaskini duniani and still climbing. We are 24th poorest nation 2 step behind Kenya and projected that by 2014 we shall surpass Kenya to be wealthiest nation in East Africa. Tunahitaji pia mabadiliko katika sarafu ya nchi iendane na ukuaji huu wa uchumi wa Tanzania. Kudos JK kwa kazi nzuri steam on!

There is no greater fool than a University fool. William Shakespear
 
<font size="3"><strong><span style="font-family:comic sans ms;"><span style="color:#0000ff;">napata taabu sana kupima umasikini na maendelo ya nchi kwa indicators ambazo siyo practical.Ni mara nyingi data kama hizo zimekuwa zikitolewa, sual la msingi je hiyo GDP anayoiunda ni kweli pato la maority au ni dhahabu na samaki sangara ?kama ni kweli tunapewa data kiuhalisa pato limepelekwa nje.Nasita kusema kuwa data za imf kwenye GDP yetu si halisa .Na kama ni halisia , mfumko wa bei usingekuwa hivyo.Pia tujiulize pia, je purchasing power kwa walio wengi ina fanana na incime per capital?je kama GDP ingekuwa halisia, tusingehangaika kutafuta fedha ya maendelo kwa kutumia bajeti ya wafadhili na misaada kutoka nje.Kiuhalisia uchumi si suala la data tu bali ni lazima akisi maisha halisia ya watu.Tusiwe jf thnkers wa makaratasi bila uchanbuzi.Mfano tumtafute mwakijiji yeyote wa dodoma ambako hali ya ukame ni mbaya kiasi kikubwa kama kwa mwaka ameweza kuwa na kipato cha tshs.2,000,000/=.na kama angeweza wananchi wa ingunga wasingesubiri waletewe chakula cha msaada huku wana fedha.<br>Tuache hadith za political economy bila kuangalia social economic development , ambazo ndo halisia kuangalia umasikini na namna unavyoondolewa, na si kwa mkukuta.<br>nasita kusema kuwa hizi ni popoganda za kina mnape na uchumi wa kutazamia madaftari vyuoni &nbsp;ili kupata digrii au diploma.Tuache kuwatukana wanannchi kiuhalisia nao ni jumuisho takiwa katika idadi ya watanzania bila kuangali vigenge vya kina dowans ndo tutoe data za kindoto????????????????????????</span></span></strong></font>
 
,

Bwana mkubwa naona wewe ndo huelewi unachozungumzia. Ziangalie hizo data kitaalamu (siyo kama zilivyo na kuingiza siasa kwenye uchumi). Dola imekuwa ikipungua nguvu yake kwa annual rate ya 3.45%. Ukipiga hesabu hapo (tumia hata NPV formula) Dola $1410 za 2011 ni sawa na $389 za mwaka 1980. Na hata ukiangalia kwa undani zaidi hizo figure utagundua kwamba tulikuwa better off 2003 kuliko sasa. Ndiyo maana nikasema kuangalina na kuanalyze hizo data kama zilivyo ni 'analysis nusu nusu'.

Mkubwa,

Tukiziangalia kiutaalamu kwa kuargue kuwa dollar imekuwa ikidecline by the rate between 2% to 4% (According to the office of national statistics of US , 2011). Assuming you are accurate so unataka kutuambia what basis umetumia kupata NPV ya 389?
Tuseme FV=1410 PV=FV/(1+.0345)^31= $492 but hapa tunaassume kuwa Tshs iko constant nayo.

Tukiconsider Shillingi has also being depreciating utakuta still ukuaji wa $1410 ni mkubwa kwani $1 ya mwaka 1980 ni sawa Tshs 8 na hivyo $386= Tshs 3,088. Pato la sasa hivi ni $1,410 sawa na Tshs= 2,136,150.

Tuseme ni sawa na $389 je hiyo ni sawa na bei gani kwa sasa hivi= $389 x 1704 (CRDB, NBC exchange rate)) = 662, 856 je ni sawa na Tshs 3,088 ya 1980. Msitake kubeza vitu kwa matakwa yenu ya kisiasa.

Still I stand to my point he deserve congratulation.
 
Umetumia NPV formula kwa kutumia (internal rate of retun ipi?)

Nafikiri ametumia discount factor ya 3.4% ambayo analyst in currency market wanaassume dollar usually decline between 2% to 4% annually (according to US Congress bureau of statistics, 2011). But tunarudi pale pale je shillingi inadecline vp? Ingelikuwa shillingi strong tungelisema haina maana but shillingi yenyewe ni weak.
 
So unatuambia JK tusimpongeze katika hili? Nafikiri utakuwa mkosaji wa shukrani. Hebu chungulia tena hizo data kipindi cha mwinyi GDP per capital ilikuwa baina 400-600 (sehemu ambayo Zimbabwe, Congo wapo sasa hivi). Mkapa GDP per capital income ilikuwa baina ya (600-1000) which is commendable. JK from 2005-2011 ni baina ya (1000-1400 ) je haikutoshi kumpongeza kwani yuko sawa sawa na mkapa kwa ukuaji wa uchumi kwa kipindi cha miaka 4. Tuwe watu shukrani wakuu sio kubeza kila kitu kwangu mie haya ni mafanikio mwanauchumi yeyote ayasifu.

mbona umekazana kutaka jamaa apongezwe????kwa lipi hasa???yaani dola 1400 za marekan ndo unahisi zinaleta unafuuu,,,tena kwa mwaka.....ondoa ujuha wako hapa,,,,hata kama si mchumi wala mtaalamu wa takwimu huwez kusema hapa kuna unafuu
 
Usipotaka kumpongenza hujalazimishwa wewe nenda kawapongeze wengine ...

Hapa JK anapongezwa kwa vigezo vya kiuchumi (vinavyokubalika na wasomi na kutumika duniani kote) siyo hisia, chuki na nyimbo zingine mnazofundisha kwenye vikao vyenu visivyo rasmi
 
ungeweka na listi ya bei ya Unga ,Mchele ,mafuta ya taa ,maharage na sukari tokea 2000-2011huku ukiendelea kumpongeza
 
What a color full stats!!! Nice try!!! As for most of us.. that doesn't impress us much.... our purchasing power is down spiraling every hour of the day!!!! Kila siku afadhali ya jana!!!... well... sorry.. as for me.... I'm not excited....
 
Mkubwa,

Tukiziangalia kiutaalamu kwa kuargue kuwa dollar imekuwa ikidecline by the rate between 2% to 4% (According to the office of national statistics of US , 2011). Assuming you are accurate so unataka kutuambia what basis umetumia kupata NPV ya 389?
Tuseme FV=1410 PV=FV/(1+.0345)^31= $492 but hapa tunaassume kuwa Tshs iko constant nayo.

Tukiconsider Shillingi has also being depreciating utakuta still ukuaji wa $1410 ni mkubwa kwani $1 ya mwaka 1980 ni sawa Tshs 8 na hivyo $386= Tshs 3,088. Pato la sasa hivi ni $1,410 sawa na Tshs= 2,136,150.

Tuseme ni sawa na $389 je hiyo ni sawa na bei gani kwa sasa hivi= $389 x 1704 (CRDB, NBC exchange rate)) = 662, 856 je ni sawa na Tshs 3,088 ya 1980. Msitake kubeza vitu kwa matakwa yenu ya kisiasa.

Still I stand to my point he deserve congratulation.
Mkuu bado unatumia makosa yaleyale ya kulinganisha yale ya mwaka 1980 kwa mtazamo wa leo wakati hujui thamani ya Tshs mwaka 1980. Labda niweke hilo pato (highlighted) na tulifanye kwa mwezi..Mwaka 1980 hakuna kiongozi wala mtu aliyekuwa akipata mshahara wa Tsh 3,088 hakuna labda rais na mawaziri sina hakika, ni nyingi sana.. lakini leo hizo 662,856 ni mshahara wa kati kabisa kwa wafanyakazi (graduates) na maisha bado yatawashinda. Kwa hiyo, mwananchi wa mwaka 1980 aliyepata mshahara wa Tsh 700 robo ya pato la Tsh3,088 aliweza kuendesha maisha yake hadi akajenga nyumba na kadhalika wakati leo hii tunashindwa kuendesha maisha hadi tupewe 662,856 bado huoni kwamba hali ya maisha ya leo hailingani na pato?..
 
Acha kudanganyika na maGDP yako kwa mtanzania wa kawaida hakuna kitu.GDP is just an average kwa hiyo sio kipimo kizuri cha uchumi.ebu chukua mfano wa hizi namba 1,3,2,800,10000,20000,1,2,5,7,5,5,2,3,6,5,6,2,4,1,4,4,8,5,5,5,2,3,2,1,2,3,2 ukitafuta wasitani wa hizo namba unapata kama 1,000. Sasa chukulia mfano 20,000 na 10000 ndo pato la akina Rostam na Mengi ambao ni wachache sana na hivi vinamba vidogo vidogo mfano 2,5,3 kama ilivyo kwenye orodha ndo vipato vyetu sisi watanzania tuliowengi. kumbuka wasitani wa hizo namba tumepata karibu 1000.kwa hiyo mfano huu ndo kitu kilichopo Tanzania kwamba kuna watu(ambao ni wachache sana) wana kipato kikubwa sana kwa mwaka na ambao wana kipato kidogo sana ambao ni wengi.kwa hiyo ukitafuta wasitani wa kipato kwa mwaka itaonekana ni kikubwa kumbe kimepandishwa na matajiri ambao ni wachache sana.kwa hiyo mkuu usidanganyike na hayo maGDP YA AKINA MKULO SISI WATANZANIA WA KAWAIDA KILA SIKU AFADHALI YA JANA.
 
Kamanda Mkandara,

Mkuu wangu GDP per capital metric has got its own weakness but it remain to be strong economic indicator for economic changes and performance. Kuna mchina mmoja alikuja na model moja complicated nadhani imetupiliwa mbali kwani GDP is robust since it also takes into account the utility of consumers. Huwezi kuwa unanunua mkate kama huupendi na hivyo unavyonunua mkate inamaana umeridhika nao.

Tukirejea katika hoja yako unarudi nilichokisema mkuu kuwa distribution of income but ni kikwazo nchini kwetu. Watu wachache ndio wanamiliki uchumi wa nchi yetu. Pia wazungu wanatuibia na kuchukua baadhi ya mapato yetu la msingi ni kuziba mianya hiyo. Nashukuru umelitolea mfano Barrick kama umenisoma nyuma Barrick imekuwa listed canada na london. Kwanini wasiishinikize Barrick walist kampuni yao DSE ya Tanzania? Wakilist serikali itaweza kuwakata kodi, mishahara ya wafanyakazi wao itakatwa kodi, na pia tutapata mrahaba wanaotudanganya nao wa asilimia 3.

Ni mipango tu mkuu. Hebu niambie sarakasi ya makampuni ya mahoteli makubwa kwani serikali yetu inashindwa nini kuwadhibiti? Kila siku wanabadilisha majina kuendelea kukwepa kodi. Serikali inashindwa kuzuia mianya hiyo. Watu wanapangisha watu nyumba hawalipi kodi serikalini je unalizungumzaje? Ni mipango tu mkuu but for this hata wewe you have to acknowledge him kuwa ni mafanikio yake.
Kwa maelezo yako hayo J.K. wako tumpongeze kwa lipi?
 
So unatuambia JK tusimpongeze katika hili? Nafikiri utakuwa mkosaji wa shukrani. Hebu chungulia tena hizo data kipindi cha mwinyi GDP per capital ilikuwa baina 400-600 (sehemu ambayo Zimbabwe, Congo wapo sasa hivi). Mkapa GDP per capital income ilikuwa baina ya (600-1000) which is commendable. JK from 2005-2011 ni baina ya (1000-1400 ) je haikutoshi kumpongeza kwani yuko sawa sawa na mkapa kwa ukuaji wa uchumi kwa kipindi cha miaka 4. Tuwe watu shukrani wakuu sio kubeza kila kitu kwangu mie haya ni mafanikio mwanauchumi yeyote ayasifu.

kama jamaa alivyosema hapo juu anafaa kusifu kwa tabasamu lake na kujua kuwatafuta wasani wa nje na kupiga nao picha, kubwa zaidi kuongoza nchi ambayo ni masikini na hajui kwanini ni masikini, kujua kuwakumbatia mafisadi na wezi wa rasilimali za nchi yetu kwa hilo tu nampa hongera
 
Hoja yako ingekuwa na maana km data hizo hapo juu zingekuwa zimetolewa kwa Tshs ila zimetolewa kwa dola. Kwa hiyo si hoja tena. Na si kila kitu kupinga vitu vingine kubalini tu na kumbukeni hata New York haikujengwa kwa siku moja, well done JK

Kwani mwelekeo wa jk anajenga au anabomoa. Wewe sema Tz haibomolewi kwa siku moja ntakuelewa
 
Back
Top Bottom