Massenberg
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 1,173
- 1,370
Mkuu,
Per capital income ni kwamba inachukuliwa total GDP divide by the population of the country. Tunapata kitu kinaitwa GDP per capital or jina jengine kila mtanzania anategemewa kuwa na kiwango gani cha fedha kwa mwaka nchini kwake. Kawaida hii sio accurate measure of the distribution of income ya nchi ila ni estimation kutokana jumla ya pato la uzalishaji nchini na watu walioko nchini. Ni kipimo cha kutizama nguvu ya thamani ya sarafu (Purchasing power). Duniani sasa hivi nchi tajiri duniani ni Qatar ikifuatiwa na Lincheinstein wakati nchi maskini duniani ni Congo wakifuatiwa na Liberia na Burundi
Tanzania imejitahidi sana kutoka 1980 ambapo la kila mtanzania lilikuwa $386 per person kufikia hadi $1410 per person. Pato la $386 Tanzania tulikuwa nchi zinazoshika mkia kwa umaskini duniani. Leo hii Tanzania tuko nyuma ya Kenya kwa nafasi mbili tu Kwani Kenya pato la Mkenya ni $ 1616 wakati sisi ni $1,410. Wakaze buti tutafanikiwa kuwazidi.
Mbona unang'ang'aniza watu tumpongeze? Kama unataka si utafute baiskeli uendeshe kama yule msukuma baada ya uchaguzi ukampongeze?