Hongera January Makamba kwenye suala la TANESCO - You have assembled the best body of directors in Tanzanian history

Hapo umeteleza, sema wewe ila usiwasemee wengine maana hawajakutuma
 
Nakubaliana na wewe asilimia mia. Na kwa kuonesha umahiri wao na u independent wao, sie wa Kanda Ziwa kesho Jumamosi hatutakuwa na umeme siku nzima! Hongera sana Waziri Makamba! Hongera Bodi ya TANESCO!
Kuwa na subira, wape muda kidogo wa kufanya kazi kabla hujaanza kulaumu.
 
Yoooo..its ya boy chawaaa
 
Acha awanyooshe, huyu mshkaji alitakiwa apewe majukumu mawili ayafanyie kazi na awabwage wezi na wasumbufu wa kudai kodi.

Hizi sekta basi tu 😡😡😡 TRA NA TANESCO.
 
By whose standards????
 
Nani aliyekuambia watu hua wanashiba hela?,mfano JK na team yake anafanya nini kwa sasa kwenye serikali hii kama watu hua wanashiba hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…