Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda (kulia) akipongezwa na wadogozake, Nasirika Nyema (wapili kulia) na Namsi Pinda (kushoto) baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro, Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
ndio hivyo tena, labda tumgombanie huyo namsi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kulia) wakiwa na Binti yao Janet Pinda ambaye alitunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe yaliyofanyika Chuoni hapo mjini Morogoro Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Vp wameolewa hao wengine?
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda (kulia) akipongezwa na wadogozake, Nasirika Nyema (wapili kulia) na Namsi Pinda (kushoto) baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro, Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
utapigwa tu maana tumechoka. ..kuzaa tuzae sisi wewe unataka kuoa....
Mvua rasha rasha na ngurumo za hapa na paleUtabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo
Dada alieva nguo y blue kwapa linamijsha putuuuu!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
afadhali hajafanana na baba yake...maana duh!
Wana bahati kwelikweli yaani hakuna aliyemfanana Baba..........
Dada alieva nguo y blue kwapa linamijsha putuuuu!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
...........................ni siri ya ndaniMbona mweupe