Hongera JamiiForums, hongera Maxence Melo

Hongera JamiiForums, hongera Maxence Melo

Frediluu

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
1,075
Reaction score
266
Kuna watu wanachonga sana humu JF kuhusu tuzo aliyopewa Mr. Max eti hakustahili???

Wanadhani ndani ya hii nchi kinaweza kutokea kilichotokea kwa Max?? thubutu zao.

Nawashukuru sana walioandaa hizo tuzo maana ni kama waliona namna isivyowezekana kwa Max kuipata hapa nyumbani.

Wangeandaa ya Siasa za majukwaani wampe Mheshimiwa Lisu na za siasa kupitia muziki wampe Roma ingekua bora sana, nashauri tu.

Mbona Bob alipewa iweje Roma anyimwe banaa!! namshauri waziri huzika (Mwakyembe) na BASATA waliangalie hili kwa jicho la tatu.

Naomba kutoa hoja.
 
Back
Top Bottom