Hongera ITV na IPP-Media mnautendea haki mchakato wa katiba

Ungarobo

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
18
Reaction score
17
Tangu mchakato wa katiba umeanza IPP-Media kupitia vyombo vyake vya ITV, Radio One, Capital Radio na EATV kupitia kipindicha HOTMIX vimekuwa karibu kabisa kutuhabalisha juu ya mchakato huu mzima...

Ni vyombo vinavyoonesha midahalo, mahojiano na habari zote za mchakato wa katiba...media nyingine kama TBC, Sahara media mpo kimya mnatuonesha mipasho tu ya bunge la katiba...

Nakumbuka Kenya media zote kama Q TV, KBC na CITIZEN TV zilikuwa zinafuatilia mchakato wote wa katiba mwanzo mpaka mwisho..TBC ipo radhi kurusha live mkutano wa hadhara wa CCM kuliko kuonesha makongamano ya katiba...

Hongereni IPP-Media mtabaki kuwa Superbrand Tanzania endeleen msirudi nyuma
 
Haswaaaa hawa ni wazalendo wa dhati.
 
Kiujumla itv nawapongeza kwa kuonyesha live matukio yahusuyo katiba mpya! Wenzetu kenya walitoa fursa kwa vyombo vya habari vyote kuwa huru na kutoa taarifa zote zinazohusu katiba mpya na mchakato wake kiujumla! TBC CCM haijatutendea haki umma wa watanzania kuhusu mchakato wa kupata katiba mpya.
 
Amen. Nilikuwa mpenz wa TBC na star TV ila sasa nimevunja rasmi ndoa hiyo na kujiunga na ITV daima
 
Hongera sana ITV .....mimi nilishaachaga kuwatch tbccm mda mrefu maana habari zao za ajabu ajabu za mwenge wa uhuru
 
TBC hauwezi kuvumilia nondo ilizokuwa inapigwa leo CCM lazima wakate mawasiliano.
 
TBC utazani haitumii kodi zetu nakupenda ITV unanifanya nijue mambo mengi mno hasa kupitia midahalo yenu na ndio tunapima uwezo wa viongoz naona ccm wamekatazwa kabisa kushiriki mahojiano
 
Wasiwasi wangu ni kwamba kama ITV wataendelea hivi, basi watafungiwa kama serikali-ilivyogunga tovuti ya tume ya mabadiliko ya katiba.

Pamoja na CCM kuvaa miwani ya mbao kuhusu rasimu ya Warioba hii midahalo ya ITV inaijeruhi sana CCM. Tulikuwa bar tukinywa lakini ulipoanza mdahalo wa ITV screen zote zili tune ITV na baada ya mdahalo ilionekana kila mtu akiilaumu CCM kwamba ndio kikwazo cha katiba mpya.

Kwa hili la katiba mpya CCM ime play bad card.
 
Hiki chombo kitaendelea kuzitwaa tuzo zote kwa ubora wa matamgazo yake na kuuvaa utanzania uliojaa chembe zote za uzalendo. TBC ilipofikia hata akitokea jambazi moja la kisiasa na kuamulu ihamasishe watanzania kuuana kwa virungu na mashoka wanaweza kufanya. Sijawahi kuona chombo cha umma kikifanya wanayofanya TBC. Ni aibu...ni upuuzi.....ni uasi.....ni .....usaliti.....ni janga la kitaifa. Hawakuwepo ktk mdaaro ila usishangae wanatoa tamko na ushauri wa Prof Rumumba...' UKAWA irejee bmk'. .bila hata ya kujua mdaaro uliendaje.
 
naseam Mungu ibariki IPP na walaaniwe zile redio zote za udaqku including ile media ya udaku na waandishi waliojaa udaku(CLDS ----ZUK)
 
I like redio onE, i like capital redio and itv

i hate clouds tv,TBC star TV and clouds redio na watangazaji wake wote they are full of udaku and this is come from the deepest point of my heart, ingawa najua hii ni redio ya msimu tu
 
Watakuja hapa Lumumba fools na madai yao ya kipumbavu.. Subirini tuu..
 
Tangu mchakato wa katiba umeanza IPP-Media kupitia vyombo vyake vya ITV, Radio One, Capital Radio na EATV kupitia kipindicha HOTMIX vimekuwa karibu kabisa kutuhabalisha juu ya mchakato huu mzima...

Ni vyombo vinavyoonesha midahalo, mahojiano na habari zote za mchakato wa katiba...media nyingine kama TBC, Sahara media mpo kimya mnatuonesha mipasho tu ya bunge la katiba...

Nakumbuka Kenya media zote kama Q TV, KBC na CITIZEN TV zilikuwa zinafuatilia mchakato wote wa katiba mwanzo mpaka mwisho..TBC ipo radhi kurusha live mkutano wa hadhara wa CCM kuliko kuonesha makongamano ya katiba...

Hongereni IPP-Media mtabaki kuwa Superbrand Tanzania endeleen msirudi nyuma

Ndugu yangu hapa Tanzania ni ITV tu,TV stations zingine zimebski kuonyesha mipasho,TBC ndio husiseme kabisa wako radhi kurusha live mikutano ya mwigulu mchemba Mwanza kuliko kutuletea mdahalo unaofanyika hapa nkuruma hall.
 
Kiujumla itv nawapongeza kwa kuonyesha live matukio yahusuyo katiba mpya! Wenzetu kenya walitoa fursa kwa vyombo vya habari vyote kuwa huru na kutoa taarifa zote zinazohusu katiba mpya na mchakato wake kiujumla! TBC CCM haijatutendea haki umma wa watanzania kuhusu mchakato wa kupata katiba mpya.
Walisuuza roho yangu pale muda wa kawaida ulipokwisha saa 11 na wakaamua kuongeza muda wa saa nzima hadi saa 12. Hongera ITV.
 
Tangu mchakato wa katiba umeanza IPP-Media kupitia vyombo vyake vya ITV, Radio One, Capital Radio na EATV kupitia kipindicha HOTMIX vimekuwa karibu kabisa kutuhabalisha juu ya mchakato huu mzima...

Ni vyombo vinavyoonesha midahalo, mahojiano na habari zote za mchakato wa katiba...media nyingine kama TBC, Sahara media mpo kimya mnatuonesha mipasho tu ya bunge la katiba...

Nakumbuka Kenya media zote kama Q TV, KBC na CITIZEN TV zilikuwa zinafuatilia mchakato wote wa katiba mwanzo mpaka mwisho..TBC ipo radhi kurusha live mkutano wa hadhara wa CCM kuliko kuonesha makongamano ya katiba...

Hongereni IPP-Media mtabaki kuwa Superbrand Tanzania endeleen msirudi nyuma

Nakuunga Mkono na Tuwape Pongezi Zao.
 
Mengi ni mzalendo wa kweli kuliko hayo majanga mengine.HONGERENI SANA ITV
 
Back
Top Bottom