Hongera Hon. Hussein Bashe kwa kujitosa kusomesha wanafunzi 226

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
MBUNGE AJITOSA KUSOMESHA WANAFUNZI 226, KIDATO CHA 5 NA 6
Neema imewashukia wanafunzi 226 waliofaulu kujiunga na kidato cha tano, wilayani hapa katika Mkoa wa Tabora baada ya mbunge wa jimbo la Nzega, Hussein Bashe kujitolea kuwalipa ada ya masomo hayo hadi watakapohitimu kidato cha sita.

Uamuzi huo ulitangwa juzi na Katibu wa mbunge huyo, Majaliwa Balali wakati wa hafla ya kuwapongeza wanafunzi hao iliyofanyika mjini Nzega ambapo mbunge huyo atatumia zaidi ya Sh31.6 milioni kuwasomesha wanafunzi hadi watakapohitimu kitado cha sita.


50087392e28b6dee515fa86ca5143748.jpg
6e7b6675527586c961b982ca3e3eecc5.jpg
 
Back
Top Bottom