Sidhani kama ni 'bongo muvi' maana ingekuwa hivyo sidhani kama angekubali kuacha 'mema' ya Himaya ya kifalme arudi tena kuhangaikaKuna mtu kasema eti huyo dada ni kama bongo muvi?!
Bahati ya mtende imemtokea kuolewa na mwanamfalme wa Uingereza.
Sasa sijui ndiyo kusema kwamba mtu akizoea vya kunyonga vya kuchinja anakuwa haviwezi au ni vipi sasa kaona watoke kwenye himaya ya ufalme [emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wana'balance aisee, kabisa anatembea na hivyo vimsumari...!
ulitaka atembee na nyundo sheikhe!?Wanawake wana'balance aisee, kabisa anatembea na hivyo vimsumari...!
Cheki mishipa iyo miguuniWanawake wana'balance aisee, kabisa anatembea na hivyo vimsumari...!
Wanaume hatuwezi vaa hiyo michuchumio yenu maana Kwanza tunapenda kulewa Mara kupigana halafu hatupendi tuvae kitu kituendeshe namna ya kuenenda bali sisi tunataka tuendeshe namna gani kitu hicho kiende!Aahahahahhahahaaaa umenifikirisha ila sitaandika fikra iliyonijia kichwani kwa usalama wa viungo vya uzazi hasa vya jinsia ya kiume...
Kinyume chake wanaume hawana balance, navuta picha mwanaume amevaa kiatu chenye kisigino kirefu na chembamba anatembea.....aahahahahahahhaahahhaaaaaaa looh.
Kutoa tigo labda..Anazidiwa na Amber Rutty kwa lipi?