Hongera FirstLady wa Awamu ya Tano.
Ni ukweli usiopingika Mheshimiwa Mama Janeth Magufuli ni picha halisi ya mama wa kitanzania.Kwa muda mfupi nimefuatilia matukio ambayo Mama yetu amekuwa akijitokeza nimewiwa kulisema hili hadharani kuwa ameimudu nafasi kwa ya ufirst lady kwa muda mfupi mno kuanzia muonekano wa kimavazi, hotuba na alichoanza kukifanya katika jamii kwa kuwasaidia wazee na watu wenye ulemavu wa ugonjwa wa ukoma.
Mungu akulinde wewe na Mh.Rais, wale wachache wenye husuda tumewazoea Usikatishwe tamaa Hapa Kazi Tu.