upupu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2008
- 614
- 198
FastJet imeendelea kujitanua, imeanzisha route mpya ya Dar - Lilongwe kuanzia tar 27.7.2015, kwa USD 99 tu vat inclusive, one way, hii ni habari njema aisee, kwa shirika hili ambalo kwa sasa ndo linatutoa kumasomaso watanzania, japo si la umma, Gharama za FastJet ni rafiki sana aisee