Acha kupotosha, Kamala na Kyerwa wapi na wapi? Huyu ni mbunge wa Misenyi. Hiyo kutembelea wapiga kura wake ni kwasababu ya tetemeko la ardhi vinginevyo hana tofauti na wabunge wengine walio wengi.
Lazima ajipendekeze sana maana hatosahau tulichomfanyia mwaka 2010 kwa kumpitisha Assumpta Mshama baada ya kutudharau kwa kutuambia tule kima (Tulye e'nkende).
Uzushi wangu nini mkuu make kama ni ishu tu ya majina ya jimbo, basi mie hilo halikuwa kipaumbele changu. Ni sawa na kutokulitaja kabisa so long as naamini ukimtaja mhusika wenye kuelewa inatosha kabisa kuelewaWewe mzushi tu hujui hata jimbo la unayemzungumzia, umetumwa bila data sahihi
Hata kwa Obama nako majanga utokea, janga halina uhusiano wa lilivyotokea na uongozi uliopo. Majanga mengine ni sehemu ya mipango ya mwenyezi Mungu na hasa ukidili na nature ya janga husika. Na ndo maana hata wazungu wenyewe wanakiri kushindwa kudetect lini nini kinatokea na wapi. Sasa fikiria linapokuja kwa nchi Kama zetu hizi za "sizonje" ni kitu gani kinatokea.kyerwa..! tatizo la njaa lilipotokea!
je ana mchango gani kwa jamii?
Naona umekuja kumpamba tu hapa. Huyu jirani yangu Mugana pale. Sio kwamba anakubalika sana kama unavyotaka kuaminisha. Ni kawaida sana na anatumia nguvu kubwa sana maana anajua 2005-2010 jeuri aliyofanya mpaka tukamtosa. Upinzania wangejipanga vyema na kama Focus asingeongeka hakika huyu mheshimiwa angekuwa analia.Nimechanganya majimbo, nisamehe kwa hilo. Ila narudia kusema tena, kwanza jimbo lake siyo jimbo nakotokea mie na pili sijamsema kwasababu yoyote ile iwayo nje ya kazi yake.
Ukitaka kunielewa vizuri na kumwelewa kwa usahihi tafuta clip kupitia Jamco.blog ama Bukobawadau.blog ndo utaelewa mie siko katika kuongelea tetemeko ijapo najua hata sahivi yuko site ( jimboni) akiendelea na ziara zake na hata wewe ukifungua hizo blog utamwona
Achia hii ya mara baada ya tetemeko, ingia hizo blog anzia mwezi January mpaka juzi kabla ya tetemeko ukaone ni kwa kiasi gani huyu mh. yuko site mda wake mwingi. Hivi vitu si stori za mtaani, we tafuta hizo clip halafu baada ya hapo njoo hapa unipinge ninachokisema
Tujifunze kama na yeye alivyojifunza, ..tujifunze kusema na tujifunze pia, kuukubali ukweli. Kumsema mwenzio yasiyo kweli tukumbuke pia, ni kosa kubwa kwa Mungu, tukiwa na Mungu daima tutausema ukweli na kuukana ulongo
Mkuu sijasema ili kumpamba na wala sijasema kwamba anakubalika/hakubaliki.Naona umekuja kumpamba tu hapa. Huyu jirani yangu Mugana pale. Sio kwamba anakubalika sana kama unavyotaka kuaminisha. Ni kawaida sana na anatumia nguvu kubwa sana maana anajua 2005-2010 jeuri aliyofanya mpaka tukamtosa. Upinzania wangejipanga vyema na kama Focus asingeongeka hakika huyu mheshimiwa angekuwa analia.
Wasalaam Watanzania nyote.
Leo nina jambo moja la kumhusu huyu Mh.Mbunge wa jimbo la Misenyi Nampongeza sana huyu mzee.
Kwanza niseme wazi, (mie sina chama) ila ninao utashi tu wa kumuangalia mtu mmoja mmoja kwa kadili ya matendo yake na hasa katika nafasi yake. Binafsi naamini kabisa approach yangu hii inanisaidia sana, nakuwa huru mda wote kupongeza na kusifia yeyote yule ama kukosoa na kamwe sibanwi na mipaka ya vyama "vyao".
Tokea uchaguzi umalizike na huyu mzee kuibuka kidedea, kuusema ukweli pasipo kuuma maneno na wala kumuonea mwingine, huyu mh. kweli ni kati ya wabunge wachache sana kutoka CCM na hata upinzani wanaoifanya kazi yao. Na hata staili yake anayoitumia ya kelele kidogo na matendo mengi a.k.a mzee wa kimya kimya iko safi sana.
Hadi kufikia leo, ni mbunge pekee kutoka mkoa wa Kagera aliyeweza kulizunguka jimbo lake kwa zaidi ya mara tatu.
Nimesoma na kuzidi kumfatilia baada ya kuvutiwa sana na anavyokuwa karibu na wanajimbo wake, huyu mzee anastahili pongezi hata kama hana anachowapa. Ninajiuliza kwa wapinzani, achana na mizigo ya CCM ambayo tumeshaizoea, ni kwanini wa upinzani walio wengi hawana spirit ya kutumikia vyeo vyao zaidi ya kuonekana wako busy na kuratibu maandamano kana kwamba waligraduate katika kuandaa maandamano
Kwa wapinzani na Lwakatare akiwemo, wanatakiwa kuelewa mahitaji ya jamii za watu wao na mahitaji yao, bora liende na mob politics havitawasaidia kamwe. Nendeni majimboni mkafanye kama Nassari a.k.a dogo janja, nendeni mkafanye kama Prof. Muhongo, fanyeni kama Dr. Diodorous Kamara. Mkitaka kuendelea kuwa wauza sura mijini mtambue 2020 siyo mbali na watanzania hawatasita kuchukua maamuzi "sahihi".
Atakaye mwona Mh. Mbunge huyu naomba ampe salaam zangu nyingi.
Siasa zinalipa sana mkuu, pia alitegemea uwaziri. Imagine miaka 5 ya ubunge anakula kiinua mgongo zaid ya milioni 300,000,000 wakati kuna maprofesa wanasota vyuoni miaka 30 wanaishia kupata chini ya milioni 100.Kwa nn aliacha ubalozi !!!??
....ila niongeze kidogo kwa kusema, mbunge wako, bado si mzee...ni makamo ya mtu mzima...!Wasalaam Watanzania nyote.
Leo nina jambo moja la kumhusu huyu Mh.Mbunge wa jimbo la Misenyi Nampongeza sana huyu mzee.
Kwanza niseme wazi, (mie sina chama) ila ninao utashi tu wa kumuangalia mtu mmoja mmoja kwa kadili ya matendo yake na hasa katika nafasi yake. Binafsi naamini kabisa approach yangu hii inanisaidia sana, nakuwa huru mda wote kupongeza na kusifia yeyote yule ama kukosoa na kamwe sibanwi na mipaka ya vyama "vyao".
Tokea uchaguzi umalizike na huyu mzee kuibuka kidedea, kuusema ukweli pasipo kuuma maneno na wala kumuonea mwingine, huyu mh. kweli ni kati ya wabunge wachache sana kutoka CCM na hata upinzani wanaoifanya kazi yao. Na hata staili yake anayoitumia ya kelele kidogo na matendo mengi a.k.a mzee wa kimya kimya iko safi sana.
Hadi kufikia leo, ni mbunge pekee kutoka mkoa wa Kagera aliyeweza kulizunguka jimbo lake kwa zaidi ya mara tatu.
Nimesoma na kuzidi kumfatilia baada ya kuvutiwa sana na anavyokuwa karibu na wanajimbo wake, huyu mzee anastahili pongezi hata kama hana anachowapa. Ninajiuliza kwa wapinzani, achana na mizigo ya CCM ambayo tumeshaizoea, ni kwanini wa upinzani walio wengi hawana spirit ya kutumikia vyeo vyao zaidi ya kuonekana wako busy na kuratibu maandamano kana kwamba waligraduate katika kuandaa maandamano
Kwa wapinzani na Lwakatare akiwemo, wanatakiwa kuelewa mahitaji ya jamii za watu wao na mahitaji yao, bora liende na mob politics havitawasaidia kamwe. Nendeni majimboni mkafanye kama Nassari a.k.a dogo janja, nendeni mkafanye kama Prof. Muhongo, fanyeni kama Dr. Diodorous Kamara. Mkitaka kuendelea kuwa wauza sura mijini mtambue 2020 siyo mbali na watanzania hawatasita kuchukua maamuzi "sahihi".
Atakaye mwona Mh. Mbunge huyu naomba ampe salaam zangu nyingi.
Una matatizo gani kichwani? Hii ni mara ya kwanza jamaa yako kushika nafasi hiyo? Mwambie atulie tu! Maamuzi mabaya, uchaguzi mbaya wa nafasi ya kazi. Miscalculation!Wasalaam Watanzania nyote.