Hongera dominic mosha kwa kuachana na ukapera;mungu mkubwa kweli

Itabidi kwanza kuwekwe preamble kwenye thread kuainisha selebriti ni nani. Vinginevyo basi kila mtu ni selebriti ati.

Domy,

Nilikuwa sijui kama na wewe pia ni celebrity. Hongera kaka!


A celebrity (often referred to as a celeb in popular culture) is a person who is famously recognized in a society or culture.
Generally speaking, a celebrity is someone who gets media attention and most frequently has an extroverted personality. There are a wide range of ways people can become celebrities, from their profession, appearances in the mass media, beauty or even by complete accident or infamy.

Instant celebrity is the term that is used when someone becomes a celebrity in a very short period of time. In some places, someone that somehow achieves a small amount of transient fame through hype or mass media, is stereotyped as a B-grade celebrity. Often the stereotype extends to someone that falls short of mainstream or persistent fame but seeks to extend or exploit it. In the 21st Century, the insatiable public fascination for celebrities and appetite for celebrity gossip has seen the rise of the gossip columnist, tabloid, paparazzi and celebrity blogging.

The rise of international celebrities in acting and popular music is due in large part to the massive scope and scale of the media industries, enabling celebrities to be viewed more often and in more places.

http:/ /. en.wikipedia.org/wiki/celebrity


HONGERA SAAAAANA KAKA DOMMY,

Sie kule Moshi hata mtu anayechoma nyama au kutengeneza mtori vizuri ni celebrity bana, Msuasi mzuri wa nywele za kimasai, maji ya moto nk nae celebrity, dereva anayeendesha kasi kawa wale wa "Buffalo" au Ngolika kadhalika huwezi kutomwita celebrity kama hata MC Lema was CELEBRITY!
 
kaamua kuachaana na kukamua kamua ovyo wacha amkamulie anaempenda sio majambazi safi kijana umenifurahisha

sentensi hii imekaa kama mtu anapigwa dongo laini.
naona ni mambo ya waarabu wa pemba wajuana kwa viremba haya.
 
Hakika aliesema hakuna mungu na alaaniwe milele
nimefurahishwa kuona mate wangu pale chuo kikuu bw dominic mosha akikubali kula ndafu na mke wake wa maisha
si kwamba alikuwa nanii kihivyo hapana ;ndugu yangu alikuwa mwaminifu sana lakini kila akiadhibiwa akusita kusema sitaki kabisa kusikia ndoa hawa watu wa baba mmoja na mama moja akili zao moja;akika ametuhakikishia si hivyo na waume zao wamoja
means uliengia na unaesubiri ipo siku utazama kwenye ndoano
mama mtunze kijana;anzeni maisha kwa kumjua mungu.matatizo yenu hayatatuliiwi na baba dom wala mama dom wala wakwe zako ni nyie wenyewe;moto utakaokutana nao mwambie mungu apigane nao...nawaombe uwe na amani na kusiweko na kutoeleewana
narudia tena msikimbilie shida zaenu kwa marafiki...wala wasiokuwa na ndoa...

Happenew yr/ote hsppy bday/waingakyi inu/mbutana/happy valentine/ngasuko ulalu/happy morning/chaa/ ngikundiamba
lee

"mwaka mpya mwema"

ulakucha wose

Dominic,hii falsafa ya 'shake well before using' imekukumba na wewe.......i hope hiyo siyo sababu ya kuoa.

I wish you a happy married life.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom