Sio wivu, ila ni hali halisi kwa huyu mdada, nadhani kwa namna hii anaweza akaweka historia ya mwanamke aliyeolewa na kuachika mara nyingi na kwa muda mfupi hapa tz, anyway sio mfano mzuri katika jamii yetu hii, hivi ndivyo inabidi tufahamu kwamba uliberaly unaingia kwa kasi sana nchini kwetu manake hivi ni baadhi ya vitanabaishi vya liberalism, muda si mrefu tutaanza ona na ndoa za miktaba. Sisi Millennial watoto wetu ujana wao utakuwa changamoto sana.