hongera zake,mambo ya kun'gang'aniana hayataki.ndoa ya 3 si mchezo ni bahati kwake.kapiga chini wa 2,muda si mrefu kampata husband no.3.{lakini kuna kipindi alisema kuwa alirudiana na mume no2?}inaonyesha maybe hakukukuwa na mafanikio
Haha Dida umeoshewa mpenda penda, wakati unaingiza ndoa ya tatu wengine hata hiyo moja wanaisaka hawajaipata!! Kula maisha mama kwani ndio aina ya maisha uliyochagua.
Haha Dida umeoshewa mpenda penda, wakati unaingiza ndoa ya tatu wengine hata hiyo moja wanaisaka hawajaipata!! Kula maisha mama kwani ndio aina ya maisha uliyochagua.
Usimpe pole.
Ezden nikama amekalia seat ys bus. Akifika mwisho atashuka, then anamuachia abaria mwngine akalie seat.
Nikama mtuanatoka, mwingine anaingia.
Hiyo maneno hainaga makombo
Usimpe pole.
Ezden nikama amekalia seat ys bus. Akifika mwisho atashuka, then anamuachia abaria mwngine akalie seat.
Nikama mtuanatoka, mwingine anaingia.
Hiyo maneno hainaga makombo