Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,318
- 7,985
nilitegemea hii comment kuikuta ya kwanza au ya piliAhsante meneja masoko
Nimesoma nikaweweseka kuanzia para ya pili, Kimotco mara upendo traveller, ninavyojua upendo inakwenda iringa na hao mberesero wanakwenda kwao arusha.
Sasa wapi na wapi hiyo safari yako.
Ukiisifia serikali wanakuita mwanalumumba. Ukiisifu Chadema ni mwanaufipa, sasa mpaka mabasi!!!!nilitegemea hii comment kuikuta ya kwanza au ya pili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu sana mtejaAhsante meneja masoko
...Vipi, hapo mnachimba dawa? Si siku hizi dawa ina sehemu maalumu za kuchimbwa???[emoji23][emoji23][emoji23]Wiki iliyopita nilikuwa nanyi kwenye gari lenu T .... DDB. Kwa bahati mbaya likatuharibikia melela KM 39 toka Moro. Katika kupiga stori abiria waliiponda sana kampuni yenu kuwa magari ni mabovu.
Nami niliunga mkono hoja baada ya kutathimini mwendo wenu na ule wa Al Saedy tuliyemuacha robo saa zima akaja kutupita kitonga na hatukumkuta tena!!!
Toka siku hiyo nikaapa kutokutumia magari yenu.
Leo nimekata tiketi KIMOTCO (Meresero Generation). Tunapotoka ubungo tuliacha Upendo mkiendelea kupakia. Lakini katika hali isiyotarajiwa mmetupita Boma kama tumesimama. Yaani hakuna kitu kinachonikera kama kupitwa njiani na gari jingine.
Dereva huyu amenikera kinoma! Yaani yeye anaovertake tankers tu na maroli, aaghhh. We dereva unajielewa sana na kuanzia sasa natengua kauli ya kusema magari yenu mabovu maana sio kwa kutembezwa kule duh!!!. Kuanzia Leo notakuwa abiria wenu maana mnajielewa sana kwenye 80 unatembea 80 sio hili lindezi linatembea 40,50 na 70.
View attachment 1132895
Wale mnaokerwa na madereva wazembe karibuni
Kwenye hiyo picha ya gari la Upendo hapo juu wewe ni huyo wenye dela?
BabaDesi!!! DarHotWire??...Vipi, hapo mnachimba dawa? Si siku hizi dawa ina sehemu maalumu za kuchimbwa???[emoji23][emoji23][emoji23]
...Vipi, hapo mnachimba dawa? Si siku hizi dawa ina sehemu maalumu za kuchimbwa???[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nipo nyuma ya kameraKwenye hiyo picha ya gari la Upendo hapo juu wewe ni huyo wenye dela?
Kwanini mkuu?nilitegemea hii comment kuikuta ya kwanza au ya pili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]