Hongera CUF kwa kuzamia

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Bila ya shaka kimya kirefu kina mshindo ,hao wa mwendo mdundo naona wamekalia kuti kavu .
 
mwiba ...habari za siku.... naona umerudi na mradi wako wa pumba
 
mwiba ...habari za siku.... naona umerudi na mradi wako wa pumba
Unajua tupo Libya kusaidia Serikali Tawala isianguke,tumewambia waende kimugabemugabe,ila kimya cha wanangangari si bure habari za ndani kabisa zinasema kuwa mambo yao yanakwenda kama walivyoyapanga ,hawana papara ,isipokuwa wanasema wanawaachia CDM walainishe njia.
 
Hivi ngangari bado wapo?
 
Wanang'angari c wapo na mrema na mbatia wakimwaga Co2 gesi kwenye moto wa cdm! Najua wasipoisaidia ccm mwaka hauishi huu. Ila mtata mtatiro kazeeka akiwa kijana,anarithi ya mbatia na mrema. Anapoteza muda wake bora aende ccm apate ata uDc.
 
Back
Top Bottom