Hongera comred Shaka Hamdu Shaka kwa ziara hizi

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,984
1,405
Kaimu Katibu mkuu wa UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) Mapema leo hii tarehe 20 Dec ameongoza ujumbe wa viongozi mbalimbali kumtembelea mjane mama AGRIPINA ANGERO ambaye nyumba yake ilibomolewa na Tetemeko na mhe Rais kuamua kumjengea Nyumba imeshakamilika imebakisha umaliziaji tu.

Akiwa hapo kaimu Katibu mkuu alipokea salamu za Shukrani kutoka kwa Mama mjane kwenda kwa mhe Rais kwa kumjali na kuguswa na Shida za wanyonge.Kaimu katibu mkuu Shaka Hamdu Shaka pia amewaagiza UVCCM wilaya ya Karagwe ndani ya siku 3 kwenda kwenye eneo hilo kufanya Usafi ili kumsaidia mama huyo

Baada ya tukio hilo katibu mkuu Shaka alishiriki zoezi la kugawa vifaa vya ujenzi kwa familia 10 Wahanga wa Tetemeko vifaa hivyo vimetolewa na Kanisa la Anglican Dayosisi ya Kagera usharika wa Karagwe akigawa vifaa hivyo kaimu katibu mkuu amelishukuru kanisa la Anglican kwa kuendelea kuguswa na maafa ya tetemeko.
Ameziomba familia zilizopata vifaa hivyo kuvitumia kwa malengo yaliyokusudiwa

Wakati huo huo kaimu katibu mkuu ameendelea na ziara ya kujionea utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015-2020. Kukagua shughuli za vijana na kuhamasisha uwajibikaji wa Vijana Wilaya ya Kyerwa, amepokelewa kijiji cha CHANYA

74daac5041eba21df429c03cc54ee0af.jpg
328d394279f6518358fb5569cce6dc66.jpg
 
Kaimu Katibu mkuu wa uvccm Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) Mapema leo hii tarehe 20 Dec ameongoza ujumbe wa viongozi mbalimbali kumtembelea mjane mama AGRIPINA ANGERO ambaye nyumba yake ilibomolewa na Tetemeko na mhe Rais kuamua kumjengea Nyumba imeshakamilika imebakisha umaliziaji tu.
Akiwa hapo kaimu Katibu mkuu alipokea salamu za Shukrani kutoka kwa Mama mjane kwenda kwa mhe Rais kwa kumjali na kuguswa na Shida za wanyonge.Kaimu katibu mkuu Shaka Hamdu Shaka pia amewaagiza UVCCM wilaya ya Karagwe ndani ya siku 3 kwenda kwenye eneo hilo kufanya Usafi ili kumsaidia mama huyo

Baada ya tukio hilo katibu mkuu Shaka alishiriki zoezi la kugawa vifaa vya ujenzi kwa familia 10 Wahanga wa Tetemeko vifaa hivyo vimetolewa na Kanisa la Anglican Dayosisi ya Kagera usharika wa Karagwe akigawa vifaa hivyo kaimu katibu mkuu amelishukuru kanisa la Anglican kwa kuendelea kuguswa na maafa ya tetemeko.
Ameziomba familia zilizopata vifaa hivyo kuvitumia kwa malengo yaliyokusudiwa

Wakati huo huo kaimu katibu mkuu ameendelea na ziara ya kujionea utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015-2020. Kukagua shughuli za vijana na kuhamasisha uwajibikaji wa Vijana Wilaya ya Kyerwa, amepokelewa kijiji cha CHANYA
74daac5041eba21df429c03cc54ee0af.jpg
328d394279f6518358fb5569cce6dc66.jpg
Mm nilidhani kuna jambo kumbe ni huyu kundure anawatembelea maccm wenzake kina kundurile.
 
Vifaa vitolewa na Anglican Church halafu UVCCM wanawahi kwenda kugawa.....kweli majabu hayawezi kuisha nchi hii. Ile michango ambayo serikali ilipokea bilioni kadhaa ziko wapi? Kwa nn huyo Shaka asiende kugawa hizo?
 
Misaada ya kanisa kiongozi wa chama anaenda kuigawa? Kanisa halina kiongozi? Kuna shida iko mahali hapa! Kuna mmoja kati ya hawa anataka kutembelea nyota ya mwenzake!!!! Hili li nchi limekuwa halieleweki sio wanasiasa sio wachungaji!!!!!
 
Back
Top Bottom