Hongera Channel Ten

peace2007

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
212
81
Nimefarijika leo kwa kuona Channel Ten inaonekana kwenye DSTV (CHANNEL 292). Ingawa haijawa clear sana ninaamini itaboreshwa na kuonekana vizuri. Tunafarijika tunavyoona local channels zinajiunga kwenye visambuzi kama hivi na vinginevyo. Amen
 
Ni visimbuzi mkuu peace2007,imekua faraja sana na tusubiri hayo maboresho.

Hivi Mengi wa ipp yeye hana mpango kama huo?
 
Last edited by a moderator:
Ni visimbuzi mkuu peace2007,imekua faraja sana na tusubiri hayo maboresho.

Hivi Mengi wa ipp yeye hana mpango kama huo?

Mengi wa IPP anataka chaneli zake zionekane katika King'amuzi chake cha Digitek tu, ili mkinunue.
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom