Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Kwa hili inabidi niwapongeze chadema.Chadema wanapigisha mamluki na watu legelege kwata hadi wanaona saa zinakata shoo haianzi. Kwa hili ni silaha kubwa.
Chadema km wameweka code vile, ukiingia bila code.Huoni movie,hawafungi mlango,hawakunyimi kuingia. Ila ukiingia ndio hivyo. Tumeona watu wanatoka kwa sababu za kitoto.Hakuna mtu katoka chadema kwa sababu yenye mashiko.Hakuna hata aliyejaribu wahujumu katoka salama.Nani?
Zitto?: Alipga kelele sana za sijui Mbowe kushikilia madaraka.Kaenda anzisha ACT kafanya nini?Kapiga kelele za udini,sijui ukabila,sijui ukanda wapi?Ukanda upi wakati alikuwa naibu katbu mkuu?
Madiwani? Eti wanakwenda muunga mkono kiongozi wa chama pinzani?Sasa kujiunga ndio mkono upi?Si wangechapa kazi kwa bidii ktk halamshauri ambazo kwa asilimia kubwa kazi ni za wananchi na sio za kisiasa sana?
Dr. Slaa? Sababu zake zilifubaa hata mwezi haujaisha,sasa hivi hatakai hata kuja nchi hadharani.Kaamua kuzamia nje .
Mkumbo?Sasa tunamwona yupo wapi na anafanya nini au anaongea nini.
Lipumba na sababu zake?Haikuchukua muda sasa hivi ni ombaomba wa wazi kwa ccm.malengo hayajatimia, na sasa hana tena mvuto hata kwa wana cuf.Baada ya Mimba yake kumtokea puani ya kutengeneza ukawa.Dkk ya mwisho gia ikabadilishwa hewani, na jukwaa lake la kufanyia harusi ya fujo likatumika na wengine.
Masha? masha katoka kwa sababu ya kuchekesha, eti chadema hawana nia ya kuitoa ccm, ila na yeye kajiunga na CCM .Lini ukamlaumu mtu kwa kutomtoa adui kisha wewe ukajiunga na adui hapo hapo?Wengine huamia kambi ingine ya kupigana na adui.
Ukiangalia kwa makini utaona wazi ni kwamba ni kwamb Chadema wamejipanga sana .Kimbinu na mpangilio wa chama. Hakuna pa ccm kupata data za maana.Hata wakiingia ktk mazungumzo.Bado kuna lugha hawatazielewa. Na wakijaribu sana kucheza kwa bidii ili kulaghai watu.Siku ya kuondoka waondoke nao. Watu wanazidi kuwa wapinzani zaidi na siku ya kutoka .Hawatoki na wewe,wanakuacha uondoke mwenyewe.
Hii power kubwa sana.