Hongera Chadema: Kwata lenu, mamluki wanakacha kwa sababu za kitoto.

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Kwa hili inabidi niwapongeze chadema.Chadema wanapigisha mamluki na watu legelege kwata hadi wanaona saa zinakata shoo haianzi. Kwa hili ni silaha kubwa.

Chadema km wameweka code vile, ukiingia bila code.Huoni movie,hawafungi mlango,hawakunyimi kuingia. Ila ukiingia ndio hivyo. Tumeona watu wanatoka kwa sababu za kitoto.Hakuna mtu katoka chadema kwa sababu yenye mashiko.Hakuna hata aliyejaribu wahujumu katoka salama.Nani?

Zitto?: Alipga kelele sana za sijui Mbowe kushikilia madaraka.Kaenda anzisha ACT kafanya nini?Kapiga kelele za udini,sijui ukabila,sijui ukanda wapi?Ukanda upi wakati alikuwa naibu katbu mkuu?

Madiwani? Eti wanakwenda muunga mkono kiongozi wa chama pinzani?Sasa kujiunga ndio mkono upi?Si wangechapa kazi kwa bidii ktk halamshauri ambazo kwa asilimia kubwa kazi ni za wananchi na sio za kisiasa sana?

Dr. Slaa? Sababu zake zilifubaa hata mwezi haujaisha,sasa hivi hatakai hata kuja nchi hadharani.Kaamua kuzamia nje .
Mkumbo?Sasa tunamwona yupo wapi na anafanya nini au anaongea nini.
Lipumba na sababu zake?Haikuchukua muda sasa hivi ni ombaomba wa wazi kwa ccm.malengo hayajatimia, na sasa hana tena mvuto hata kwa wana cuf.Baada ya Mimba yake kumtokea puani ya kutengeneza ukawa.Dkk ya mwisho gia ikabadilishwa hewani, na jukwaa lake la kufanyia harusi ya fujo likatumika na wengine.

Masha? masha katoka kwa sababu ya kuchekesha, eti chadema hawana nia ya kuitoa ccm, ila na yeye kajiunga na CCM .Lini ukamlaumu mtu kwa kutomtoa adui kisha wewe ukajiunga na adui hapo hapo?Wengine huamia kambi ingine ya kupigana na adui.

Ukiangalia kwa makini utaona wazi ni kwamba ni kwamb Chadema wamejipanga sana .Kimbinu na mpangilio wa chama. Hakuna pa ccm kupata data za maana.Hata wakiingia ktk mazungumzo.Bado kuna lugha hawatazielewa. Na wakijaribu sana kucheza kwa bidii ili kulaghai watu.Siku ya kuondoka waondoke nao. Watu wanazidi kuwa wapinzani zaidi na siku ya kutoka .Hawatoki na wewe,wanakuacha uondoke mwenyewe.

Hii power kubwa sana.
 
Katika muktadha wa nyakati za demokrasia kila mtu ana haki ya kujiunga au kujitoa Chama chochote......haki hiyo haiwezi kupokwa na mtu yeyote

Wanadamu tumetofautiana kwenye mambo mengi sana yakihusisha maoni na utashi hata kwenye mambo yanayofanana.......

Kukomaa ki demokrasia ni pamoja na kuvumilia na kustahimili maamuzi ya wengine pasi na maneno ya kejeli.......

Kama ambavyo Nyalandu ameona kwa utashi wake kuwa inafaa kujiunga na CHADEMA baada ya kujiridhisha kwa utashi wake , ndivyo ambavyo Masha ameona haifai kuendelea kubaki CHADEMA kwa utashi wake sasa shida inatoka wapi.........

Kama ambavyo maamuzi ya aliyeingia yanatakiwa yaheshimiwe basi na maamuzi ya anayetoka pia yaheshimiwe.......

Kwanini wanasiasa wa nchi hii wanahubiri au kupigania vitu ambavyo wao wenyewe sio waumini wavyo...,!!?

Ina maana uhuru wa demokrasia wanaoupigania CHADEMA ni upi ikiwa wao wanashindwa kuheshimu maamuzi ya wengine............!!??

Au demokrasia ni mtu tu kuhamia CHADEMA na sio mtu kuhama CHADEMA.....

Hiyo mipasho tulizoea kuisikia CCM vipi tena wamewaambukiza na CHADEMA....!!?
 
ww km ulihama chama ukaenda chamakingine nako huko ukaona hakufai unarudi tena ulikotoka jamii lazima ikushushe maana unaonekana hujielew na una maslahi yako binafsi ulioyatanguliza mbele zaidi ya yale ya taifa na chama chako.....
 
Kwa hili inabidi niwapongeze chadema.Chadema wanapigisha mamluki na watu legelege kwata hadi wanaona saa zinakata shoo haianzi. Kwa hili ni silaha kubwa.

Chadema km wameweka code vile, ukiingia bila code.Huoni movie,hawafungi mlango,hawakunyimi kuingia. Ila ukiingia ndio hivyo. Tumeona watu wanatoka kwa sababu za kitoto.Hakuna mtu katoka chadema kwa sababu yenye mashiko.Hakuna hata aliyejaribu wahujumu katoka salama.Nani?

Zitto?: Alipga kelele sana za sijui Mbowe kushikilia madaraka.Kaenda anzisha ACT kafanya nini?Kapiga kelele za udini,sijui ukabila,sijui ukanda wapi?Ukanda upi wakati alikuwa naibu katbu mkuu?

Madiwani? Eti wanakwenda muunga mkono kiongozi wa chama pinzani?Sasa kujiunga ndio mkono upi?Si wangechapa kazi kwa bidii ktk halamshauri ambazo kwa asilimia kubwa kazi ni za wananchi na sio za kisiasa sana?

Dr. Slaa? Sababu zake zilifubaa hata mwezi haujaisha,sasa hivi hatakai hata kuja nchi hadharani.Kaamua kuzamia nje .
Mkumbo?Sasa tunamwona yupo wapi na anafanya nini au anaongea nini.
Lipumba na sababu zake?Haikuchukua muda sasa hivi ni ombaomba wa wazi kwa ccm.malengo hayajatimia, na sasa hana tena mvuto hata kwa wana cuf.Baada ya Mimba yake kumtokea puani ya kutengeneza ukawa.Dkk ya mwisho gia ikabadilishwa hewani, na jukwaa lake la kufanyia harusi ya fujo likatumika na wengine.

Masha? masha katoka kwa sababu ya kuchekesha, eti chadema hawana nia ya kuitoa ccm, ila na yeye kajiunga na CCM .Lini ukamlaumu mtu kwa kutomtoa adui kisha wewe ukajiunga na adui hapo hapo?Wengine huamia kambi ingine ya kupigana na adui.

Ukiangalia kwa makini utaona wazi ni kwamba ni kwamb Chadema wamejipanga sana .Kimbinu na mpangilio wa chama. Hakuna pa ccm kupata data za maana.Hata wakiingia ktk mazungumzo.Bado kuna lugha hawatazielewa. Na wakijaribu sana kucheza kwa bidii ili kulaghai watu.Siku ya kuondoka waondoke nao. Watu wanazidi kuwa wapinzani zaidi na siku ya kutoka .Hawatoki na wewe,wanakuacha uondoke mwenyewe.

Hii power kubwa sana.
Senior member wanaondoka kwa sababu za msingi waliosema, lakini ninyi mashabiki ambao hata kadi za uanachama hamjui zilivyo mnabaki mnabwata.
 
Katika muktadha wa nyakati za demokrasia kila mtu ana haki ya kujiunga au kujitoa Chama chochote......haki hiyo haiwezi kupokwa na mtu yeyote

Wanadamu tumetofautiana kwenye mambo mengi sana yakihusisha maoni na utashi hata kwenye mambo yanayofanana.......

Kukomaa ki demokrasia ni pamoja na kuvumilia na kustahimili maamuzi ya wengine pasi na maneno ya kejeli.......

Kama ambavyo Nyalandu ameona kwa utashi wake kuwa inafaa kujiunga na CHADEMA baada ya kujiridhisha kwa utashi wake , ndivyo ambavyo Masha ameona haifai kuendelea kubaki CHADEMA kwa utashi wake sasa shida inatoka wapi.........

Kama ambavyo maamuzi ya aliyeingia yanatakiwa yaheshimiwe basi na maamuzi ya anayetoka pia yaheshimiwe.......

Kwanini wanasiasa wa nchi hii wanahubiri au kupigania vitu ambavyo wao wenyewe sio waumini wavyo...,!!?

Ina maana uhuru wa demokrasia wanaoupigania CHADEMA ni upi ikiwa wao wanashindwa kuheshimu maamuzi ya wengine............!!??

Au demokrasia ni mtu tu kuhamia CHADEMA na sio mtu kuhama CHADEMA.....

Hiyo mipasho tulizoea kuisikia CCM vipi tena wamewaambukiza na CHADEMA....!!?
Kuna haja ya viongozi wa chadema kuwafundisha vijana wao maana ya siasa, wengi wao ni kufuata ushabiki bila kuangalia hoja ya jambo husika.leo hii mbowe akisema tundu lissu hakupigwa risasi nao watasema hivyohivyo bila kufanya argumentation. Vijana wengi hawajui Dhana Pana ya democracy, leo lawlence masha ameamua kutumia democracy kuiacha chadema wanaanza kumshutumu na matusi juu
 
Hasara kubwa ni kuwa vijana ambao ndio chem chem ya mageuzi wamekuwa mazezeta ya wanasiasa......

Akili zao na fahamu wamewakabidhi wanasiasa....hawajabakisha hata chembe ya kuwasaidia kuhoji kinachonenwa na viongozi wao.......

Akili zao zimeandaliwa kupokea maagizo tu na sio kuyachanganua maagizo......

Wamesombwa na mkumbo maoni ya wengi bila kujua kuwa kila mmoja ana maoni yake......

Wanasiasa wetu wameshajua na kuufanyia kazi udhaifu huu.......

Ndio maana wakati mwingine unazitazama jinsi siasa hizi z Tanzania zinavyoenda unabakia tu kucheka kama sio kusikitika......

AMINI NAKUAMBIA

MABADILIKO AU MAGEUZI YA KWELI KWENYE TAIFA HILI YATAANZA SIKU AMBAYO VIJANA WATAJITOA KWENYE UTUMWA WA KUABUDU FIKRA ZA WANASIASA NA KUANZA KUZITUMIA FAHAMU ZAO MAANA NDIO SIKU AMBAYO WATAKAPOJUA NA KUUONA DHAHIRI UNAFIKI WA WANASIASA WALIOKUWA WAKIWATUMAINIA........

TIME WILL TELL.......

337251e15a4a3b3ff6087d714c725117.jpg
 
I agree with you brother
 
Back
Top Bottom