Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Habari wanajf na CCM kwa ujmla
Kwa niaba ya wakereketwa na wanachama wa chama cha mpinduzi ccm, Nichukue Fursa hii kukipongeza chama kwa kukosoa vikali njia dhaifu na za kizamani zilizokuwa zitumiwe na Makonda katika vita aliyoiita ya kupambana na madawa ya kulevya.
Aisha nachukua Fursa hii kukipongeza chama kwa kumnyima ushirikiano na kutomuunga mkono kwa namna alivyokuwa anaendesha zoezi. Kufanya hivo kumesaidia Sera yake ya kukaaimu madaraka kinyume cha sheria kufa kifo cha mende na sasa hali imerejea shwari na tayari watu wenye weredi wako kazini wakipambana kwa hili.
Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku kuwatangaza watuhumiwa wa Madawa bila uhakiki
http://www.google.com/url?q=http://...46DzZg&usg=AFQjCNERLMjNGQ2fc0sjgm6iVKyhjZYxAA
Redirect Notice
BUNGENI "Msukuma amvaa Makonda