Hongera bwana Humphrey Polepole

Hongera bwana Humphrey Polepole

Kwani mpaka umfahamu mtu
lazima uwe umesoma??

Tena manzania mwenzako
thats not the issue what am trying to say is, it was amazing for such an old woman to know Mr.polepole while in any kind of coincidence they have never came across to each other. na ukitaka kujua ebu angalia comments, kuna mtu kauliza kwamba huyu polepole ni nani?sasa you can emagine
 
Yaani kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya firauni.. Juzijuzi nilipatwa na msiba sasa nkalazimika kusafiri kwenda kuzika, sasa kwakua ilikua ni mkoa ambao babu na bibi wanaishi ikanibidi niende kuwasalimia, yaani nlishangazwa bibi yangu akaniuliza hivi Humphrey Polepole mbona simsikii?
Unajua nlishikwa na butwaa kwa maana bibi yangu wala sio msomi lakini ni mfanya shughuli zake tu yaani nkasema kweli vijana wa dotcom wameteka tanzania mjini mpaka vijijini.

Hongera polepole
Hahaha,Kweli Siasa ukiipenda sana ni Ugonjwa

o.jpg
 
thats not the issue what am trying to say is, it was amazing for such an old woman to know Mr.polepole while in any kind of coincidence they have never came across to each other. na ukitaka kujua ebu angalia comments, kuna mtu kauliza kwamba huyu polepole ni nani?sasa you can emagine

Nonsense!!!"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom