bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 800
Yaani kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya firauni.. Juzijuzi nilipatwa na msiba sasa nkalazimika kusafiri kwenda kuzika, sasa kwakua ilikua ni mkoa ambao babu na bibi wanaishi ikanibidi niende kuwasalimia, yaani nlishangazwa bibi yangu akaniuliza hivi Humphrey Polepole mbona simsikii?
Unajua nlishikwa na butwaa kwa maana bibi yangu wala sio msomi lakini ni mfanya shughuli zake tu yaani nkasema kweli vijana wa dotcom wameteka tanzania mjini mpaka vijijini.
Hongera polepole
Unajua nlishikwa na butwaa kwa maana bibi yangu wala sio msomi lakini ni mfanya shughuli zake tu yaani nkasema kweli vijana wa dotcom wameteka tanzania mjini mpaka vijijini.
Hongera polepole