Hongera bwana Dismas ten umefanya mapinduzi Yanga SC, Simba SC waigeni Yanga SC katika hili

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
1.Jarida la Yanga sc kila mwezi litakuwa mtaani likiwa limebeba mseto wa habari mbalimbali za club ya yanga.


3a8ff6c318b10b5d75f2edca8c1a11a6.jpg


2.Dismas 10 mkuu wa idara ya mawasiliano wa yanga mafanikio yake mengine ametengeneza press room ya yanga na kuifanya ya kisasa na kuboresha ofisi.

e165dffa632ed31dae381a6d43a1597b.jpg


3.website ya yanga mara ya mwisho kutumika ilikuwa sijui mwaka gani na ilikuwa hovyo lakini bwana Dismas ten katengeneza website ya yanga na saizi mashabiki wanaweza kununua jezi online ,kujiunga na uanachama online na kupata habari ,website ipo active..Muro alishindwa

4.Mwaka Juzi yanga ilipewa adhabu kwa kuchelewa kupeleka majina ya wachezaji Tff kwa mfumo wa Tms lakini mbeya city mapema walipeleka sababu kubwa ilikuwa ni Dismas ten mtaalamu,mbeya city ilikuwa na active website kuliko timu yeyote sababu ya mafanikio hayo ilikuwa ni Dismas ten ,Hongera mkwasa kwa kumuajiri Dismas ameleta mapinduzi jangwani

Jerry Muro alishindwa yote haya kazi yake ilikuwa ni kupigana mipasho na Manara na kuropoka.

Dismas ten hafanyi press za mara kwa mara za kipuuzi ndio maana heshima yake na yanga saizi ni ya kutukuka.lakini upande wa simba duu salale kila dakika 10 msemaji anaropoka na hapo hajishushi heshima yeye Bali na klabu ya simba inaonekana ni klabu ya kipuuzi.


Ni wakati wa simba nao wafanye mapinduzi kama wa yanga ,idara ya habari sio ya uropokaji au mipasho ,mfano msemaji wa serikali Dkt.Abbas anajitokeza pale tu kutoa taarifa,Ku-clarify au kusahihisha na ndio kazi Bwana Dismas anaifanya yanga ..ukitaka habari ingia kwenye website ambayo ipo active na nunua jarida


Uongozi wa simba fanyeni mapinduzi kama yanga walivyofanya heshima ya simba nje ya uwanja irudi.


4af6520257dee708f550867d6823f541.jpg
 
Kwa hili big deal Yanga wamefanya
Hii ni kuweka tofauti kati ya International Club na Mezani Fc
Msemaji wa zamani alikuwa hajielewi anajiita siku hizi mzee wa fursa eti, kijana matope
Muro na Manara wana hulka za kike
 
Main themes kwenye hilo jarida ni kuhusu tu upande wa pili/watani but not otherwise.
I can't wait for............................
 
Heshima ya Yanga itarudi na itakuwepo endapo tu pale hilo ' Bwawa ' la Kuogelea ' Vyura ' na hifadhi ya ' makimba ' ya Wahindi wote wa Kariakoo litaondolewa hapo Kaunda. Maendeleo siyo Jarida au Press Room ni mazingira yako Kwanza. Wewe unadhani Wazungu walikuwa wajinga / wapumbavu pale waliposema huu msemo kwamba ' first impression matters? ' Hivi utanunuaje Jarida ambalo lina harufu tayari ya Vyura na Makimba ya mitaa ya Twiga na Jangwani? Utawaitaje Wanahabari waje katika Press Room yako wakati kila wakikaa tu kukusikiliza wanasikia vilio vya Vyura kwa nje na harufu zilizotukuka na Nnya / Mavi / Makimba?
 
Yanga ndo club inayoendeshwa kisasa kwa sasa...big up uongozi wa Yanga

Hivi unaposema inaendeshwa Kisasa unajua unachokisema lakini? Hivi palipo Vyura wengi na harufu kali ya Makimba / Mavi / Nnya panaweza pakawa na maendeleo ya Kisasa kama ambavyo unajaribu kutudanganya? Kama hii ndiyo IQ ya Watu wa Yanga SC basi hakuna namna Jumamosi mtatusamehe tu tutawafunga ' magoli ' mengi ili mkajifunze kuwa na adabu kujua ' Kufikiri ' pia.
 
Nomben Link ya website ya Yanga nikamchangie mtani kwa kununua Jersey.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom