Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 566
Kumbukeni Watoto wetu Wanaandika:
CCM Jibuni swali hili Acheni kumshambulia Maoni ya Membe !
Unawezaje kufuta Uchaguzi kwa dhana ya wapiga kura walikuwa sio halali ,
Ni watoto ,Wasio Na sifa ,Sheria kukiukwa
wakati hao hao ndo waliochagua Magufuli ??
Yaanimasanduku mawili kati matanohayana tatizo wakati wapigaji kura wasiokuwa Na sifa ndo hao hao ??
Walipiga SAA hiyo hiyo? Walitumia chumba hicho hicho?
Mawakala Na wasimamizi hao hao ?
Halafu Unafuta Uchaguzi kote kote badala ya kurudia sehemu zile zilikoharibika ?
Magufuli anakuwaje halali?Wabunge wa Muungano kutoka Zanzibar watakuwaje halali ?
Kwa Maoni yangu
----------------
Hivi Ndugu zetu Zanzibar wataishi hivi mpaka lini?
Kumbukeni Watoto wetu wanaandika !!