Kurutamjanja
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 396
- 377
Mnyonge Mnyongeni, Haki yake Mpeni. Pamoja na Mazonge yoote ya Chama tawala,ila Ndani ya CCM kuna baadhi ya watu makini sana kiutendaji, hili hata Wapinzani wanakubali hilo.
Watu makini hao kwa sasa vijana wa mjini wanawaita MAJEMBE. hata mm nakubali, na moja ya Jembe la CCM ni Mbunge wa Morogoro Mjini Kupitia CCM Mh Azizi Aboud.
Kwakweli Morogoro hatunaga mbunge akae zaidi ya miaka 5.hii yote hutokana na utendaji na uwajibikaji mbovu kwa wananchi wao. Ila huyu bwana Azizi aboud ni mbunge wa mfano, sio muongeaji ila ni mtendaji mzuri sana.
Sio mtalii kama wabunge wengine, bwana huyu tuko nae mkoani, shughuli zote anashiriki, ana mengi mazuri anayafanya nikiandika yote itafika kesho ila kiukweli sisi wananchi wa moro tumepata mbunge muwajibikaji,tunachimbiwa visima kila kitongoji na mambo mengi maziri tika kwa mbunge wetu.
Kwa hilo tunakupongeza sana Ndugu Azizi Abood kwa moyo wako,