Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,470
- 96,019
Kadri ya nilivyofuatilia kampeini za chama cha ACT-Wazalendo ktk uchaguzi wa 2015 nimegundua kuwa huyu mama ANNA MGHWIRA ameibeba sana ACT-Wazalendo na kwa kampeini zake alizozifanya Kigoma ziliwavuta sana kina mama wengi hivyo kumsapoti na kumpigia kura mgombea ubunge wa Kigoma mjini kupitia ACT-Wazalendo, Vinginevyo ACT-Wazalendo ilishapoteaza mvuto.
Last edited by a moderator: