Hongera Afande Muliro

Joseph Ludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
382
Reaction score
506
Kwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume deliver. Upelelezi ni sayansi na hauwezi kuendeshwa kwa ushabiki maandazi.
Hongera tena.
 
Wewe ni mmoja wao
 
ni muhimu zaid vyama vya siasa hususani upinzani, vikaachana na kutumia ushirikina, kutoana kafara na kuchukuana misukule katika kutafuta uongozi halafu wanasingizia wengine, hiyo ni useless

well done Muliro, kuisemea vyema sana taasisi imara ya Jeshi la police Tanzania 💪
 
Muliro ange spend tu weekend yake sehemu nyingine kuliko kwenda kwenye kongamano....amejidhalilisha sana yeye pamoja na jeshi lake la polisi...damu za watu siyo maji ndugu zangu
 
Muliro kasoma sheria ila kitendo cha kufuata maagizo ya kupindisha na kuvunja sheria kinamharibia sifa au "reputation" yake.

ile tu kuhudhuria kongamano la TLS chaonyesha kwamba amesoma na ni mwelewa wa masuala mengi tu.

Kwahitajika mabadiliko makubwa kwenye sheria (regulations), miongozo na kanuni zinoongoza jeshi la polisi.

Kukifanyika hayo basi chuo cha polisi Moshi kitatoa wahitimu wazuri na pia chuo cha maofisa wenye shahada cha Kibasila, kitatoa maofisa waandamizi wenye kuelewa kwamba dunia yabadilika kila siku.
 
Jukwaa lako ni hili
 
Hii inchi ndio maana hatuendelei kwa sampuli ya watu kama ww.

Usikute na ww unajiita msomi🗿
 

Amejidharilisha Sana. Ameenda kuongea Kama Mwenezi wa CCM.
 

Ila hukububujikwa na machozi. Au hayo ni lengwa? Yaani gender biased?
 
Aise huyu AFANDE MULIRO yuko vizuri sana. Mstaarabu ni ametulia sana. He is very wise,mature as well.
 
jeshi ni kupokea amri na kuitekeleza kutoka kwa afande, sasa we ulitaka asitekeleze amri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…