Aisee mimi mtazamo wangu ni kwamba, hakuna kufuata mambo ya kizungu, eti-- hata uki cheat mweleze mwenzako ukweli, kidini ni vizuri kuwa mkweli, better come clean hii itajenga mahusiano mazuri, mwenzako akifahamu ukweli atakusamehe blah blah blah. Ukweli ni kuwa hata mbele ya mtutu au panga, usithubutu kusema ukweli na kukubali kuwa ume cheat, mwanamme kwa kiafrika bwana hana msalie mtume, yaani hapo ndio utakuwa mwenyewe umejipa talaka! Na kama ni buzi la kuchuna ndio hivyo utakuwa umelifungua kamba LOL