Haina shida kabisa 100% 100%Kuanzia vifaa kupatikana je km kuna usumbufu wwote na vingine itakuwa vzur ukishare experience yako
🤣🤣Anaulizia apate uhakika zaidi anaogopa kupark gari kusubiri kifaa kutoka ulayaMtu aliyepo Dar kuulizia upatikanaji wa spares kwa magari yaliyopo bongo tayari huwa sielewi.
Watu wapo mikoani tena wilayani kwa ndani na wanamiliki hayo magari.
Iko poa sana aiseeHii gari ina muonekano mzuri sanaa hasa Kwa barabara zetu hii gari inafaa zaidi.
Kama ningekuwa na pesa ningenunua hii gari
Kaka kaka, Aisee nina 25m ila nimekata tamaa ya kupata gari nzuri ya juu. Naambiwa niandae 30m + angalau. Jana nimeongea na Mtu wa Jan International ndio kanipa hayo majibu. December ndio hii na nilipanga nivute ndinga. Unashauri gari gani kwa hiyo budget?Iko poa sana aisee
Fafanua namna ya kutreat vizuri battery ya hybridHaina shida kabisa 100% 100%
Zingatia service ya DCT (kila baada ya 40k Kilometers) na Actuator Fluid (Nayo 40k km), na engine oil, basi.
Vingine kujua kuitreat vizuri hybrid battery.
Iko poa sana aisee
hii DCT si ndio nasikia ni common problem ya hizi gari? Kwa experience yako hazisumbui watu bongo?Haina shida kabisa 100% 100%
Zingatia service ya DCT (kila baada ya 40k Kilometers) na Actuator Fluid (Nayo 40k km), na engine oil, basi.
Vingine kujua kuitreat vizuri hybrid battery.
unasema kama ninavyosemaHii gari ina muonekano mzuri sanaa hasa Kwa barabara zetu hii gari inafaa zaidi.
Kama ningekuwa na pesa ningenunua hii gari
Serikali wamepandisha Sana Kodi kuanzia mwezi wa 6 , Kwa hiyo milion 25 nilagiza Subaru forester mwaka 2024 .Kaka kaka, Aisee nina 25m ila nimekata tamaa ya kupata gari nzuri ya juu. Naambiwa niandae 30m + angalau. Jana nimeongea na Mtu wa Jan International ndio kanipa hayo majibu. December ndio hii na nilipanga nivute ndinga. Unashauri gari gani kwa hiyo budget?
Sasa nafanyaje kaka? nina hiyo budget nataka ya juu, au niongeze ngapi nichukue ipi?Serikali wamepandisha Sana Kodi kuanzia mwezi wa 6 , Kwa hiyo milion 25 nilagiza Subaru forester mwaka 2024 .
Magari yamepanda Sana bei hasa magari ya juu
Kati ya Vezzel Hybrid na Mitsubishi Outlander PHEV, Unaweza mshauri mtu achukue ipi kati ya hizi 2Haina shida kabisa 100% 100%
Zingatia service ya DCT (kila baada ya 40k Kilometers) na Actuator Fluid (Nayo 40k km), na engine oil, basi.
Vingine kujua kuitreat vizuri hybrid battery.
nomaSerikali wamepandisha Sana Kodi kuanzia mwezi wa 6 , Kwa hiyo milion 25 nilagiza Subaru forester mwaka 2024 .
Magari yamepanda Sana bei hasa magari ya juu
Hapo hakuna namna zaidi ya kuongezea tena kiasi Fulani ili ununue gari ya ndoto yako, vinginevyo nunua used ilyotumika bongoSasa nafanyaje kaka? nina hiyo budget nataka ya juu, au niongeze ngapi nichukue ipi?