Honda Odyssey inauzwa

Honda Odyssey inauzwa

kibiashara

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
75
Reaction score
13
Ni ya 2003 X-Singapore. Ina 2.4CC, 4 cylinder, leather seats, corner sensors, cruise control, speed 220km/h maximum, imetunzwa vizuri sana, imetembea 120,000km, 7 - seater nzuri sana kama gari ya familia. Bei 18M. Imelipiwa kodi zote. Ina soo many extras. it is a luxurious family car. Mwenye nia anipm au sms 0713 602 800 au 0784 602 800. Picha zaidi ziko page 2

BEI IMESHUSHWA. SASA NI 16M TU!!! WAHII UFURAHIE HONDA!!!!
 
Attachments

  • 6.jpg
    6.jpg
    498.9 KB · Views: 260
  • 8.jpg
    8.jpg
    520 KB · Views: 191
  • 14.jpg
    14.jpg
    433.7 KB · Views: 173
  • 17.jpg
    17.jpg
    288.9 KB · Views: 162
  • 19.jpg
    19.jpg
    423.9 KB · Views: 182
Dah, gari safi sana ... ngoja wadau waje ....
 
kwa mtizamo wangu ukubwa wa injini na hiyo bei nadhani kwa wenzangu na mm itakuwa ngumu!!!!no hiyo bei ni kubwa mno
 
Nice great car! very beautiful. Ningekuwa na hela ningekutafuta aisee. jinsi ilivyo, value for money. najua ningekushusha kidogo
 
kwa mtizamo wangu ukubwa wa injini na hiyo bei nadhani kwa wenzangu na mm itakuwa ngumu!!!!no hiyo bei ni kubwa mno

ni kweli sio gari ya bei ya chini kama Starlet, Vitx nk. ila kwa thamani ya ukipatacho, hadhi na ubora, ni sahihi kabisa kuuzwa bei hiyo. hebu zichungulie uone Japan zinauzwa dola ngapi, weka gharama za TRA na kuwa nayo barabarani Dar. Utajua bei sio mbaya kihivyo.
 
Nice great car! very beautiful. Ningekuwa na hela ningekutafuta aisee. jinsi ilivyo, value for money. najua ningekushusha kidogo

Asante kwa kuuona ukweli! umenisaidia sana. Jipigepige au nitafute tuzungumze. labda tunaweza pata namna ya kumalizana na ww ukondoka na mchuma ukitabasamu!
 
spea zake sasa,mpaka uende Naii

Kwenye hii globalised world tatizo la spea kwa magari limeshakuwa historia...labda kama unataka zile spea feki zilizojazwa mnazi mmoja na kariakoo. hili sio tatizo tena kwa sasa.
 
Kaka ningepata hiyo hela ningemalizia kale kakibanda kangu pale Msakuzi Mbezi..ila kupanga ni kuchagua tu!!
 
Ni ya 2003 X-Singapore. Ina 2.4CC, 4 cylinder, leather seats, corner sensors, cruise control, speed 220km/h maximum, imetunzwa vizuri sana, imetembea 120,000km, 7 - seater nzuri sana kama gari ya familia. Bei 18M. Imelipiwa kodi zote. Mwenye nia anipm au sms 0713 602 800 au 0784 602 800.

Mi na Noah VoXY 2003...Namba yake ni CFW.....Naiuza 14ML.....Ntafutie Mteja Kamanda wangu
 
Nami nilikuwa nafikiria, yes ni nzuri but how about after sales services? Spears, durability kwenye rough roads?

this is a very strong car ndugu yangu ila usisahau haikutenegenezwa kuwa off roader. kama unatakiw akupita sehemu na landcruiser basi usitegemee kuitumia hii, kama ambavyo huwezi zitegemea noah, spacio nk. ila kama unapita mashimoni mara chache au short distance kisha unaingia lamini basi hii gari itakufaa sana, na utaipenda sana.
 
Asante mkuu. Nahitaji off roader kwani kila siku nina 10km za rough road. Kila heri
 
ni kweli ni gari zuri sana. naamini atakayelinunua atafurahia sana uamuzi wake. ni luxurious na reliable family car.

Hiyo gari hata mimi kuna jamaa yangu anayo,ni balaa ni kali sana ukiendesha unaweza hisi uko ndani ya ndege,at 120kph inatulia sana,its almost just like driving 550SL Mercedes Benz,mwenye hela ajitose.
 
Asante mkuu. Nahitaji off roader kwani kila siku nina 10km za rough road. Kila heri

Asante Mkuu nawe kila la heri. Ila nakuomba uyajaribu magari ya Honda. Ni mazuri sana na nna uzoefu nayo sana. Kama unataka a different driving experience, yajaribu hata kwa ajili ya kuyajaribu tu. watu wanayaogopa wakidhani watakuwa wanaenda gereji mara nyingi kama waendavyo kwa toyota. Ila ukishayajua, huyahami asilani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom