Honda Odyssey inauzwa

Honda Odyssey inauzwa

yapo maduka kadhaa ya spears, hususan zile spears muhimu kama break pads, bushes nk. mtaa wa swahili pale karibu na junction ya fire kuna parts nyingi za honda. msimbazi karibu na Diamond trust bank branch kuna duka la spears. libya street karibu na oilcom kuna duka la spears. ilala karibu na karume kuna duka la spears. lkn kikubwa, honda haziharibi mara nyingi kama toyotas so hata utafutaji wa spears hauwi umiza kichwa au shughuli ya mara kwa mara kama ya wamiliki wa toyota. nadhani pia nahisi ndio maana wamiliki wa toyota wanaogopa aina nyingine ya magari, wakiamini na kujua kuwa kila gari inatembelea 'gereji' kama toyotaz zifanyavyo
Asante mkuu
Nimekusoma uzuuuuuriiiii
 
kwa mtizamo wangu ukubwa wa injini na hiyo bei nadhani kwa wenzangu na mm itakuwa ngumu!!!!no hiyo bei ni kubwa mno

yap nakuunga mkono-hzo cc ni kubwa sana.labda kwa mwenye pesa ndefu
 
yap nakuunga mkono-hzo cc ni kubwa sana.labda kwa mwenye pesa ndefu

pole. ila kumbuka ni gari kubwa si dogo. lenyewe bila mzigo ni karibu tani 2. kwa hiyo unahitaji nguvu kubwa pia kuliendesha ndio maana ya hizo CC. na kwa Odyssey ziuzwazo USA, cc ni 3.5 V6. Ila kama nilivyosema, ukikunja viti unaweza kubeba walau nusu tani bila shida,na unaweza kuvuta tela la kama 750km bila shida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom