kibiashara
Member
- Feb 4, 2013
- 75
- 13
- Thread starter
- #21
Hiyo gari hata mimi kuna jamaa yangu anayo,ni balaa ni kali sana ukiendesha unaweza hisi uko ndani ya ndege,at 120kph inatulia sana,its almost just like driving 550SL Mercedes Benz,mwenye hela ajitose.
Asante sana bosi kwa kufunguka. Mimi nilishaipiga 220km! si mchezo kabisa! basi tu barabara zetu ni nyembamba na kona ni nyingi sana. Ila ukitaka kufurahia exceptional driving experience, this is among the best cars for that! Ndio maana nasema ukishaanza kuyaendesha haya magari, unaweza kuwa kichaa! ni mazuri sana! hata kama mnunuzi hatonunua hii ya kwangu, basi namwalika ajiagizie kokote duniani awezapo. Ni vizuri kuwaeleza na wengine kizuri unachokifurahia, especially kwa vitu kama hivi.