M mwakibete JF-Expert Member Joined Aug 24, 2009 Posts 3,069 Reaction score 2,314 Mar 15, 2014 #1 Habari ya weekend wana jamvi! Tafadhari, nahitaji kununua HONDA CRV-Used. Je zina matatizo gani ambayo ni common? Je ni gari nzuri kwa matumizi ya mwenye kipato cha kawaida? Msaada wenu unahitajika wana jamvi.
Habari ya weekend wana jamvi! Tafadhari, nahitaji kununua HONDA CRV-Used. Je zina matatizo gani ambayo ni common? Je ni gari nzuri kwa matumizi ya mwenye kipato cha kawaida? Msaada wenu unahitajika wana jamvi.