Honda crossroad

kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
19,011
11,942
Salaam waungwana
Wakuuu mwenye kuijua hiyo gari tajwa anisaidie uimara wake na upatikanaji was spea,naona imenivutia sana sasa kabla ya kufanya lolote ningependa kupata ushauri wenu wajuvi wa magari
BF621035_ed27d9.jpg
 
Kwan uzoefu wangu gari ambazo ni common ulaya ni ngumu na bora no wonder ulaya Nissan ina soko ila bongo ukinunua Nissan au audi kila mtu atakusemea yake.
Honda ni nzuri sana hata me naipenda crossroad ila sasa check bei yake na ushuru wake hapa Tz ni bora ununue RAV 4 kill time.
So tatizo ni bei yake tu me ndio naona spare zote ukiingia beforward unaagiza bila shida.
 
Shukrani mkuu unajua hapa bongo tumekaririshwa Toyota tu,ndio mana hizo gari zingine hatununui sababu ya vitisho
 
Me nimemiliki Mazda miaka minne halikunisumbua mpaka nimeuza so nikipenda gari sifuati ushauri WA mtu ili mradi Najua spare yeyote naweza agiza online na inafika bila mizengwe kama zamani.So anaependa Honda au Audi ajinunulie,now nachanga nipate vijisent nipate Mercedes Benz C 180 gari nzuri zaidi ya brevis sema watu wanaliogopa sababu ya jina.
 
Changamoto nyingine kubwa, ni mafundi kaka. Hio nayo ni chanagamoto kubwa sana kwa sasa.
 
Acheni woga wa magari, kwani type ngapi za toyota ziko juu ya mawe!? Kamata ndinga, pesa yako alafu gari uchaguliwe na walimwengu why is it so, wadanganyika bwana
 
Kwa sasa naona zinazidi kujaa nchini, ni gari ambayo sijutii na ina heshima yake,na haina usumbufu kabisa popote unaenda
 
Nipe abc zake mzee naikubali sana hii ndinga japo wadau wengi hawaizungumzi vizur ukiwauliza naona ww unaweza kuwa msaada kama ushaimiliki isitoshe ndio nipo kwenye harakati zakutafuta kigari flan unique hiv
 
Back
Top Bottom