ndio maana nikasema hamna kitu hayo ni majeshi? jeshi la nchi ni JWTZ
KMKM , JKU , Maufunzo ni auxilary security organs ambazo zipo chini ya wizara nyengine na sio ulinzi kama hapa magereza haipo wizara ya ulinzi
hayo sio majeshi ya vita ni upotoshaji au ni kutokua..japo tumesoma