Hon. Freeman Mbowe chairman

Hon. Freeman Mbowe chairman

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
SalutationHonourable
First Name: Freeman
Middle Name: Aikaeli
Last Name:Mbowe
Constituent: Hai
Political Party: CHADEMA
Office Location: P.O. Box 3070, Moshi
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: fmbowe@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%, align: center"] Member picture
1260.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
Secondary School

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
Company Name
Bank of TanzaniaBank Officer

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]-[/TD]

Please edit your CV I know you are better than this
 
mod wamelala au? Kwani lakin hii nayo ni post
 
kutoka The Greet thinkers mpaka jukwaa la umbeya, hongera maccm kweli pesa haishimdwi.
 
Kwa hili namtetea,

Mbowe ana akili sana kuliko ma professors na mdokta kibao, ndio maana anawaongoza na wanamwogopa sana

Elimu sio nguvu au kipaji cha uongozi. Tatizo la Mbowe ni akili ndogo ambayo ina uzoefu wa kuongoza kumbi za disko tu na anafanya makosa kutumia uzoefu wake wa disko kwenye siasa
 
Kumbe bwana makengeza sifuri na kubebwa bebwa na baba mkwe wake,kumbe mzee mtei akimchomeka BOT na sasa amezoea kuleta umangi wake hadi chadema duh, kwa elimu hii ndio maana sijawahi kumsikia mbowe akiongea english au academic swahili, yeye anaongea kama ka dj flani, no wonder wasomi kina zito na kitila walimuona hafai
 
Wakuu tujadili mambo ya muhimu kama mfumuko wa bei, madawa ya kulevya, kushuka kwa elimu, huduma mbovu hosptalin, ardhi, ufisadi, madini, mikataba feki nk, hivyo tuachane na CV za watu makamanda kwan sio agenda ya msingi kwa sasa.
 
Kwa hili namtetea,

Mbowe ana akili sana kuliko ma professors na mdokta kibao, ndio maana anawaongoza na wanamwogopa sana

Elimu sio nguvu au kipaji cha uongozi. Tatizo la Mbowe ni akili ndogo ambayo ina uzoefu wa kuongoza kumbi za disko tu na anafanya makosa kutumia uzoefu wake wa disko kwenye siasa

Project Zitto imebuma?
 
Tunaomba tuwekee ya kwako!
 
Jamani hivi form six leaver anawezafanya BOT tena bank officer?

Thus why Tanzanians hate chagga, this is very silly.
 
Kumbe bwana makengeza sifuri na kubebwa bebwa na baba mkwe wake,kumbe mzee mtei akimchomeka BOT na sasa amezoea kuleta umangi wake hadi chadema duh, kwa elimu hii ndio maana sijawahi kumsikia mbowe akiongea english au academic swahili, yeye anaongea kama ka dj flani, no wonder wasomi kina zito na kitila walimuona hafai
pole sana, yaani elimu ni kuingia madarasani? Shame on you..
 
tumia akili ndogo tu Formal Education lazima uingie darasani!wacha elimu za hadithi,kuongea,fitina wizi nk,Slaa asingeitwa DOCTOR bila kuingia darasani
 
Mzee Mwinyi alikuwa na elimu ya madrassa tu akaongoza taifa. Elimu ya kufugia majini ya Mwinyi hamkuiona hadi mnamshambulia Mbowe?
 
Back
Top Bottom