Home Work hii imenitoa jasho....msaada!!

Itabidi niwafundishe wazazi wa huyu mtoto pamoja na mtoto wao njia hii.
 
Mimi kilichonivutia kuliko voote ni kitendo cha wazazi kuona wewe ndio wafaa kutoa majibu ya hio homework....lol
Tehe tehe tehe eeh!! Hata mimi nilivyoambiwa nilibaki mdomo wazi kwa muda......
 
mara ya mwisho kuoga lini..labda mazingira yako ya kichafuchafu..kwann mtoto asiambiwe akamchunguze mbwa ana chawa
 
mara ya mwisho kuoga lini..labda mazingira yako ya kichafuchafu..kwann mtoto asiambiwe akamchunguze mbwa ana chawa
hahahhaaah!!! Acha bangi wewe...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…