HOME TUITION PROGRAM

HOME TUITION PROGRAM

Joined
Apr 4, 2019
Posts
78
Reaction score
52
Tangazo tangazo yule mbobezi,fundi ,mtaalamu wa masomo ya sayansi physics ,mathematics na chemistry shebby maconcept kutoka chuo kikuu cha dar es salaam anawatangazia home tuition program kwa wakazi wa Dar es salaam yaani elimu mpaka nyumbani/ sebuleni kwako kwa sh elfu kumi kwa masomo mawili kwa siku utakayotaka kati ya physics ,mathematics na chemistry kwa level zote form one mpaka form six pia kwa wale wa primary tunawakaribisha Sana hisabati (mathematics),sayansi (science),kiingereza na maarifa ya jamii(social science) kwa both english medium na shule za msingi za kawaida ewe mzazi/mlazi ushindwe kufanikisha ndoto za mwanao urithi bora ni elimu NB; siku ya wiki end ni free hapo ni solving au paper na revision ya wiki nzima tuliosoma changamkieni fursa by shebby maconcept kwa mawasiliano piga 0625532429/0678901158/0745139375 asanteni
 
Sh 10,000 masomo mawili kwa siku! Kwa siku unatumia masaa mangapi kumfundisha?? Siku nzima??
 
Mzazi kumkaribisha mwalimu wa twisheni kwako unajitafutia matatizo.
Wengi wanao enda fundisha majumbani sio walimu wazuri.
Walimu wazuri wana centre zao
 
sio kweli unachozungumza kila mtu anaamua anachoweza kufanya kuna mzazi anapenda mwanae asome kwa utulivu tena kwa usalama na nyumbani ni sehemu kubwa penye usalama kuliko kwenye centres huu usalama nazungumzia kwenye maadili na mengineyo na mwalimu mzuri hapimwi kwa hivyo kaka
 
Mzazi kumkaribisha mwalimu wa twisheni kwako unajitafutia matatizo.
Wengi wanao enda fundisha majumbani sio walimu wazuri.
Walimu wazuri wana centre zao
Tena ngoja nikupe shule kidogo mwalimu mzuri anavitu vikuu atleast vitatu content skills(competence of subject matter) , pedagogical skills( Hapo tunazungumzia methodology ) pia moral and ethical behaviour (The way teacher behaves and how treat the students kuna factors nyingi sana nimekupa kwa uchache Mimi ninaexperience Sana nahayo macentres unayozngumzia Kwanza wengi walimu wanaofundisha sio walimu professional ujue na wengine ni form six leavers tu sitaki kuwataja kwa majina ni biashara zao content zao zakibabaishaji mwambie ticha maarufu alete vyeti ndo utacheka huwezi kurudi tena Mimi nawajua wajanja wajanja Sana sio wote lakini kwa hio mada yako walimu wa nyumbani sio wazuri ni uongo Mimi ni mwalimu mzuri ninayejiamini ukinipa mwanafunzi utajionea mwenyewe Kama alikuwa hawezi masomo ya sayansi ataweza
 
Ushauri:
Fungua youtube account / channel, tupia session mbili kwa kila somo. Hii itasaidia sana watu kutambua hizo sifa ulizojipa ( competence, pedagogical skills etc.)

Kinachoturudisha nyumba wabongo wengi ni kutaka pesa kwanza. Onyesha kazi zako pesa itakufata tu
 
Asante kwa ushauri kaka umenipa kitu cha kuongeza Mimi napenda Kama hivi unanishauri sio kukatishana tamaa Kama wengine
 
Upat mtu vyum vimekaz lbda ujifunze mwenyew.
Sio kosa lako mzee!!!Wengi tumezoea tuition vibandan,kipindi 300!!!!Sasa unaposikia jamaa anapigisha pindi 10000 unaona kama utani vileeeee!!!!!Sikushangai!!!

M niligaiwa mchongo kufundisha watoto fulan hivi,af mleta mchongo akaniambia "Wana hela hawa,mwl wao wa zaman alikuwa anakula mpaka 30,000 kwa siku!!!Nikikuunganisha mi niletee 5000 tuu kwa siku" Nikaona kama jamaa ananitania vileeee!!!!

Mleta uzi,vuta subira,utapata vichwa tuuuuuuu
 
Asante kaka kwa kunitia moyo naomba uzidi kunisupport kaka kwa kushare kwa wengine hii ni kazi niliyoamua kuifanya response imekuwa kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom